Mpendwa rafiki, Wazazi wengi wamekuwa wakiendeshwa na fasheni ya kuwapeleka watoto wadogo sana shule hii inawapelekea hata kudumaa katika ukuaji wao. Inawapelekea watoto kuchukia shule mapema hata hajafika madarasa ya kati kati. Kila mzazi anayesoma hapa hakuna aliyewahi kupelekwa shule akiwa na miezi sita, mwaka, miaka 2, 3,4,5 wengi walipelekwa wakiwa wanajitambua kabisa na walikuwa …
Continue reading "Faida Za Kumsomesha Mtoto Wako Shule Za Karibu"