Habari gani rafiki? Natumaini unaendelea vizuri sana. leo ni siku nyingine bora nay a kipekee sana kwetu, hakika sisi ni washindi na tumezaliwa kushinda ndiyo maana hata leo tunaendelea kuvuta pumzi. Kila mtu mmoja wetu kuna kitu anachotafuta hapa duniani je kile tunachokitafuta kinatoka wapi sasa? Chochote ambacho tunakitafuta yawe ni mafanikio au yawe ni …
Continue reading "Chochote Tunachokitafuta Katika Maisha Yetu Kipo Hapa"