Haya Ndiyo Matokeo Yakufanya Maamuzi Wakati Akili Ikiwa Imetaharuki

Siku zote mtu akifanya jambo wakati akiwa katika hisia yoyote lazima aje kujuta baadaye. Hakuna hisia ambayo inaweza ikamwacha mtu salama. Hisia zinaweza kuwa hasira, furaha na kadhalika. Kupitia hisia amekuwa ni adui mkubwa wa fikra za binadamu. Kuna maadui ambao wanawazuia watu kufikiri kwa kina katika mambo yao. Adui moja wapo mkubwa ni hisia, …

Haya Ndiyo Mambo Unayokumbuka Sana Katika Maisha Yako

Rafiki, Kila mtu kuna njia zake amepitia mpaka hapo alipo leo,kweli mwanamafanikio anahadithi yake ya kumuumiza iliyomfanya mpaka hap alipo leo. Ukifikiria wapi umetoka na wapi unaenda sasa moja kwa moja unajiona wewe ni mshindi na wala haihitaji uthibitisho wa vipimo asili tu peke yake inatosha kukupa majibu.   Mpendwa msomaji, hivi ulishawahi kujiuliza ni …

Mtu Wa Kumwepuka Kumwambia Matatizo Yako

Mpendwa rafiki, Unapokuwa na changamoto unahitaji kuchagua mtu makini sana wa kumshirikisha kwa sababu siyo kila mtu ni wa kumshirikisha matatizo yako. kuna watu wengine ukiwaambia mambo yako ni kama vile umemwambia  upepo na kama tunavyojua upepo kazi yake ni kupeperusha vitu hivyo hautakuwa na ustaimilivu wa kuzuia mambo. Kuna watu ukiwaambia mambo yako ni …

Sababu Kuu Moja Kwanini Wanandoa Wengi Wanavumilia Maisha Ya Ndoa Badala Ya Kufurahia

Mpendwa rafiki, Hakuna wito ambao hauna changamoto hapa duniani, hivyo lakini hakuna mtu aliyeitwa katika wito fulani kuteseka na kusudi kubwa la wito wa ndoa siyo kuteseka bali kusudi kubwa la watu katika ndoa ni kufurahia maisha ya ndoa zao. Wanadoa wengi wanalalamika kuwa wanavumilia tu maisha ya ndoa na wala hata hawafurahii, huwa napata …

Hakuna Kitu Kirahisi Kufanya Kama Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki? Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya kile kilicho bora ili kupata matokeo bora. Kufanya na kuona ni vitu viwili tofauti kabisa kwani watu wengi wanavyoona watu wakifanya jambo fulani wanaona ni rahisi sana kufanya. Lakini ukiingia kufanya kazi kwa …

Hii Ndiyo Haki Yako Ya Msingi Unayopaswa Kuwa Nayo

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu yuko duniani kwa sababu fulani. Kila mtu ana kitu cha kipekee ambacho mwingine hana. Swali la kujiuliza je umezaliwa kuvumilia maisha au kufurahia maisha? Watu wengi sana wamekuwa ni watu wa kuvumilia maisha badala ya kufurahia maisha. Shida zimetawala badala ya furaha, kazi wanazofanya watu wanazichukia licha tu zinawapatia kipato, …

Kama Unatamani Kuwa Mwema Anza Na Kufanya Kitu Hiki Kwanza

Anayesema hana dhambi ana jidanganya mwenyewe. Kila mtu anafanya makosa ila unapoona wewe huna makosa na wengine ndiyo wanamakosa huwezi kuwa na unyenyekevu wa kukubali na kutubu kuwa hata wewe unakosea. Kuna wengine wanajiona wao hawana dhambi na wengine ndiyo wanadhambi. Kadiri unavyojiona wewe unadhambi ndivyo unajitengenezea njia ya mtu kuwa mwema, kwani ujiona pia …

Ukiwa Na Kitu Hiki Tu,Umepata Vyote

Mfalme suleimani aliomba hekima tu lakini Mungu akampa vyote, kupitia hekima tunaweza kupata yote lakini ukikosa hekima umekosa maisha na matokeo utaona dunia ni chungu kwako. Hekima inatumika kile eneo la maisha yetu hivyo tunapokuwa na hekima tunaweza kutawala mambo yetu. Unaweza kuwa na kitu fulani lakini ukakosa hekima ya kukitumia kile kitu, je ukijiuliza …

Hii Ndiyo Siku Inayoonewa Na Kubebeshwa Mizigo Na Watu Wengi

Tunapochelewa kufanya maamuzi huwa mara nyingi tunakuja kupata hasara baadaye, watu wengi wameshazoea kutumia msemo huu laiti ningelijua ningelifanya yale maamuzi mapema na kwa sasa hivi ningekuwa mbali. Kila mmoja wetu hapa kuna mahali alishawahi kuchelewa kufanya maamuzi hivyo kilichofuata ni majuto tu. Hauna haja sasa ya kuendelea na kukumbuka nay ale makosa uliyofanya kwa …

Ukiambatana Na Huyu Lazima Utakua Mshindi Tu

Habari gani mpendwa rafiki? Mtoto mmoja alizaliwa msituni  katika nchi fulani, baada ya mzazi wake kukimbia makazi na familia yake kwa sababu ya vita. Hivyo ilivyotokea mlipuko wa bomu kule msituni yule mama alikimbia na kuondoka na watoto wakubwa na kumuacha yule mtoto mdogo kule msituni. Mtoto yule alikuwa ni mchanga sana kwani alikuwa na …

Design a site like this with WordPress.com
Get started