Hakuna binadamu yeyote ambaye hayuko katika mahusiano. Binadamu ni mahusiano yaani kila mmoja ana kitu kinachoitwa vinasaba (DNA). Lazima uko katika mahusiano kwa sababu una mama,baba, ndugu na watu wengine wote ukisema huna mahusiano na mtu yeyote hapa duniani basi wewe utakua siyo binadamu. Familia ndiyo mama wa jamii kwani familia ndiyo inazalisha jamii hivyo …
Continue reading "Hakuna Binadamu Yeyote Ambaye Hayuko Kwenye Kitu Hiki"