Linapokuja katika suala la fedha, fedha ambayo uko nayo mkononi mwako ndiyo una uhakika nayo. Lakini pesa ambayo haiko mikononi mwako siyo kabisa ya kuitegemea hata siku moja. Huwa tunapanga mipango mingi kwa kutegemea pesa ambazo haziko mikononi mwetu, tunaweka bajeti mbalimbali na muda mwingine tunawaahidi watu wetu wa karibu nitakupatia kiasi fulani cha pesa …
Hata Kama Ni Mtoto Wako Wa Kumzaa Usimfanyie Kitu Hiki
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Wote ambao tuko hai sasa hivi hatujawahi kuandika barua ya kuomba kuzaliwa na tena hatujawahi hata kuomba kuzaliwa na wazazi fulani lakini sisi wote tumejikuta tumezaliwa na wazazi ambao tunao sasa. Hakuna zama ambazo zinasumbua katika changamoto za malezi kama hizi, hii ni kwa sababu ya dunia inazidi kukua …
Continue reading "Hata Kama Ni Mtoto Wako Wa Kumzaa Usimfanyie Kitu Hiki"
Jinsi Ya Kupata Bahati Katika Maisha Yako
Njia nzuri ya kutaka kupata bahati katika maisha yetu ni kujiandaa tu. Hakuna njia nyingine kwa sababu bahati yoyote inakuja pale inapokutana na maandilizi. Kama ulijiandaa kukabiliana na mabadiliko mapema kabla ya mabdiliko kutokea basi yakija kutokea utajiona mwenye bahati. Watu wanaweza kukushangaa katika maisha yako una bahati kiasi gani kumbe ni maandalizi uliyofanya wewe …
Continue reading "Jinsi Ya Kupata Bahati Katika Maisha Yako"
Hakuna Hatari Mbaya Katika Masuala Ya Kifedha Kama Hii Hapa
Hata kama wewe ni mzalishaji mzuri kiasi gani lakini ukikosa kuishi na kufuata misingi ya fedha lazima utashindwa. Tuna watu wazuri wanaopambana kila siku kuhakikisha wanapata kile wanachokitaka lakini tumekuwa na watu ambao wanaishi kinyume na kile wanachokifanya. Hakuna hatari mbaya katika masuala ya kifedha kama kuishi juu ya kipato chako. Hata kama wewe ni …
Continue reading "Hakuna Hatari Mbaya Katika Masuala Ya Kifedha Kama Hii Hapa"
Jinsi Unavyojikatisha Tamaa Wewe Mwenyewe
Kama tunaishi maisha ya kujilinganisha ni rahisi kujiona maisha yetu kuna kitu yamekosa na ya wengine ndiyo yamekamilika. Kumbe tungejua ya kuwa kila mtu ana maisha mazuri kama akiwa anaishi maisha yake. Pale tunapoanza kujiona sisi hatuna hiki na fulani anacho tunaanza kupoteza ladha ya maisha na kuweka maisha yetu katika thamani ya vitu. Kila …
Continue reading "Jinsi Unavyojikatisha Tamaa Wewe Mwenyewe"
Jinsi Ya Kumkataa Shetani Na Mambo Yake Yote
Miongoni mwa viumbe waliopendelewa hapa duniani ni bindamu. Binadamu tumepewa nguvu ya kutawala kila kitu katika maisha yetu, sisi ndiyo tuna uwezo hata wa kutawala viumbe vingine. Kuna kitu cha kipekee ambacho kina tutofautisha na wengine ambacho hata viumbe wengine hawana. Licha ya binadamu huyu kupendelewa lakini bado wengine wanaendelea kuishi maisha ya tabu sana …
Continue reading "Jinsi Ya Kumkataa Shetani Na Mambo Yake Yote"
Usifanye Kosa Hili Katika Fedha Zako
Hakuna utumwa mbaya kama wakufurahisha watu ambao hata hawajali. Watu wengi wamekuwa wakikaza kufurahisha watu ambao hata hawajali. Tumekuwa na maisha ya utumwa ya kutaka kuonekana kwa nje sisi ni watu bora kwa kununua vitu vya gharama ili tuonekane na sisi ni watu tunaokwenda na fasheni. Wengine hata wanadiriki kwenda kukopa ili tu maisha yake …
Ukitaka Kujua Tabia Ya Mtu Mchunguze Kwenye Maeneo Haya Mawili
Haiba ni tabia ya mtu yaani jinsi ulivyo hivyo tabia yako ndiyo haiba yako ilivyo. Ukitaka kujua asili ya mtu ni mtu wa namna gani basi endelea kusoma hapa. Huwezi kujua tabia ya mtu kama hujakaa naye vizuri, unaweza ukawaona watu ni wastarabu sana kwa nje lakini kwa ndani ni watu wakorofi sana. Mara nyingi …
Continue reading "Ukitaka Kujua Tabia Ya Mtu Mchunguze Kwenye Maeneo Haya Mawili"
Jinsi Wafanyabiashara Wanavyofukuza Wateja Wao
Hawajakosea wahenga waliposema mteja ni mfalme. Hivi unajua mfalme ni mtu anayetaka kile anachokitaka yeye bila sababu yoyote kwa sababu ni mfalme. Mfalme hajiulizi nitapate kitu fulani ila yeye akitaka kile anachokitaka anakipata ndivyo hivyo ulivyo. Maisha yetu kwa kiasi kikubwa yametawaliwa na biashara, huwezi kupita sehemu na ukakosa kuona watu wakifanya biashara. Biashara zilikuwepo …
Continue reading "Jinsi Wafanyabiashara Wanavyofukuza Wateja Wao"
Hivi Ndivyo Unavyojijengea Hali Ya Kuvumilia Au Kufurahia Maisha Yako
Wanafalsafa wamekuwa wakituambia kuwa uko hivyo ulivyo kulingana na kile unachofikiri. Wengine hawaamini lakini ndiyo ukweli uhuo, akili zetu ni kama sumaku zinavuta kile ambacho kinaendana nacho. Vyote tulovyonazo leo vimetokana na nguvu ya uvutano ambayo tunayo leo na dunia huwa haimtengi mtu ila nguvu ya uvutano ndiyo inawatenga watu. Nguvu ya uvutano inatupa wale …
Continue reading "Hivi Ndivyo Unavyojijengea Hali Ya Kuvumilia Au Kufurahia Maisha Yako"