Mpendwa rafiki yangu, Kama uko duniani basi kujifunza ni wajibu wa kila mtu. Ukikwepa kujifunza basi unakwepa maisha yako, huwezi ukafanikiwa kama unakwepa kujifunza kwenye maisha yako. Ni wazi kwamba kila mmoja wetu amezaliwa akiwa anajua vitu viwili tu kulia na kunyonya maziwa ya mama. Lakini leo hii tunajua vitu vingi zaidi ya hivyo na …
Continue reading "Mambo Matatu Ya Kujifunza Kutoka Ndege Aina Ya Tai"