Kitu Muhimu Cha Kuzingatia Pale Unapotaka Kuajiri

Changamoto kubwa sasa hivi duniani kwa waajiri wengi ni watu. Watu sahihi wamekuwa ni changamoto kubwa, watu wanalalamika hakuna kazi lakini ukija kumpa mtu kazi hawezi kufanya kazi kama vile unavyotaka wewe. Watu wamekuwa changamoto ndiyo maana dunia inapambana kutengeneza maroboti kuchukua nafasi za kazi za watu. Kupata watu waaminifu imekuwa ni adimu sana na …

Kwanini Hupigi Hatua Katika Maisha Yako

Kila binadamu ana mawazo mazuri sana. Kila kitu tunachokiona hapa duniani vilivyotengenezwa na watu basi vilianza na mawazo. Kuandika kwangu nilianza na wazo la kuandika na huenda na wewe kusoma kwako hapa umeanza na wazo la kutaka kusoma ili ujue ni sababu gani hiyo inayotufanya tusipige hatua katika maisha yetu. Akili yako ni kiwanda kinachozalisha …

Kwanini Fedha Ni Muhimu Kwako

Ni muhimu kwa sababu inakubalika kila sehemu, kwa mfano, inakubalika serikalini, kwenye nyumba za ibada, hospitali, na karibu maeneo mengi ya maisha yetu inakubalika. Ni jawabu la mambo yote na ni muhimu sana katika maisha yetu siyo kitu kingine hicho bali ni fedha. Fedha ni mfalme wa karne hii kwa sababu anakubalika kila mahali. Ni …

Zijue Faida Za Kuanza Vizuri

Mwanafalsafa Aristotle aliwahi kunukuliwa akisema, mwanzo mzuri ni nusu ya kumaliza vizuri. Ni kweli pale tunapoanza vizuri tunakuwa tuna uhakika wa katika kile tunachofanya. Kwa mfano, timu za mpira zinapoanza vizuri katika ligi basi wanakuwa wanajiweka katika nafasi nzuri. Tunapokuwa tunaanza vizuri siku yetu kwa kuamka mapema na kuanza kujitumikia sisi wenyewe kabla ya kwenda …

Mbinu Ya Kukusaidia Kuamka Mapema

Kila kitu duniani ni kazi, tena siyo kazi rahisi ni kazi. Huwa tunapata shida na kuona ni usumbufu mkubwa  sana kutoka kitandani asubuhi. Wengine tunajiwekea alamu kabisa na ikishaanza kuita tunaona kama ni kero hivyo tunaenda kuizima na kurudi kulala tena huku tukivuta shuka. Kuamka mapema inahitaji nidhamu kweli na tena siyo nidhamu ya siku …

Huwezi Kufanikiwa Kitu Chochote Bila Kupitia Hatua Hii Muhimu Inayokimbiwa Na Wengi

Wengi tunapenda mafaniko lakini wengi pia hatupendi kupitia hatua fulani ya mafanikio. Wengine hawataki hata kuisikia hatua hiyo lakini cha ajabu wanaposikia mafanikio wanayapenda kweli. Hadithi za mafanikio ni nyingi na ukizisikia na kuzisoma utaona kweli mafanikio ni kitu rahisi lakini ukija kwa upande wa uhalisia ndiyo utakuja kuona kuwa hakuna kitu kirahisi. Utasikia alianza …

Mwanzo Wa Mchakato Wowote Wa Mafanikio Huwa Hivi…

Unaweza kuonekana huna kitu unachofanya lakini wewe mwenyewe ndiyo unajua. Watu wengi wanaweza kukusema kwamba huna unachokifanya lakini wewe mwenyewe ndiyo unajua. Utapata hukumu za kila aina lakini wewe mwenyewe ndiyo unajua kile unachofanya, wewe ndiyo unayopitia maumivu yote licha ya watu wote kutoyaona ila wewe mwenyewe upo unashuhudia. Huenda hata unaweka juhudi kubwa katika …

Jinsi Ya Kuwa Msimamizi Mzuri Wa Fedha Zako

Ukitaka kujua tabia ya mtu hata kama unamuona ni mpole mpe pesa tu ndiyo utajua tabia yake. Wako hata wale wazazi wakiwa hawana pesa watakua watu wazuri sana watakaa nyumbani na familia huku hata akisaidia kazi za nyumbani. Lakini akipata pesa huwezi kumuona kumkuta nyumbani hata muda kurudi atarudi usiku na muda mwingine hata chakula …

Sijawahi Kusikia Mtu Aliyefanikiwa Kwa Njia Hii Hapa

Kila mtu anapenda kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yake. Kama hupendi kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yako maana yake umekuja kushangaa tu duniani na kuwasindikiza wengine. Kila mmoja wetu anahitaji ushindi je huo ushindi tunaouhitaji tunaupata kwa njia gani? Ziko njia nyingi ambazo watu wanatumia ili kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yao. …

Sehemu Pekee Ambayo Unaweza Kusahau Shida Zako Kwa Muda

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu ana shida zake binafsi hivyo kuna sehemu ambayo tunaweza tukasahau matatizo yetu kwa muda na baada ya hapo tunaendelea nayo. Sehemu ambayo itatutenganisha na dunia kwa muda na kusahau mambo ya duniani. Kuna njia kama kufanya tahajudi yaani meditation tunaweza tukasahau dunia kwa muda hata yale matatizo tuliyokuwa nayo tunayaacha …

Design a site like this with WordPress.com
Get started