Sehemu Pekee Ambayo Haina Changamoto Duniani

Mpendwa rafiki, Maisha yenyewe ni changamoto tayari halafu nawashangaa watu wanaogopa changamoto za maisha. Kuwa hai pia ni hatari kwa sababu kama ni changamoto zitaendelea kuja kwako kama kawaida. Kutoka kwako tu nyumbani na kwenda kazini unaweza kukutana na changamoto nyingi njiani, ukiangalia katika mtazamo chanya changamoto huwa zinatuimarisha na kutuoa sehemu moja kwenda nyingine. …

Kama Unataka Kuwa Mfanyabiashara Mkubwa Usikwepe Kitu Hiki

Mpendwa rafiki, Maisha ni biashara, kila kitu ni biashara hivyo basi mfumo wa maisha yetu unaendeshwa kibiashara.  Huenda na wewe unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa hivyo ili uwe mfanyabiashara mkubwa kuna ngazi ambayo hutakiwi kuikwepa hata siku moja. Kila mtu anayetaka kuwa mfanyabiashara lazima apitie kwenye ngazi hiyo ili awe kufanikiwa. Tukisema tunakwepa hatuwezi kufika na …

Hii Ndiyo Njia Bora Kabisa Ya Kufundisha Watu Chochote Kile

Mpendwa rafiki, Fanya kile ninachosema na siyo ninachofanya ni kauli ambayo imepitwa na wakati katika zama zetu. Siyo njia nzuri kabisa ya kufundisha bali kupotosha, watu wafanye kile unachosema halafu na wewe uishi vile utakavyo. Tunaambiwa kuwa imani bila matendo imekufa sasa usitegemee kuwa hata uwe na imani kubwa kubwa kiasi gani kama huna matendo …

Tafakari Ya Maisha Na Mambo Ishirini Na Tisa (29) Niliyojifunza Katika Miaka Yangu Ya Kuishi Hapa Duniani

Mpendwa rafiki, Tarehe 18 julai mwaka 2018 ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa hivyo, nilitimiza miaka 29 na sikuweza kukushirikisha kitu ila nilikuahidi nitakushirikisha hivyo basi,leo nilitenga muda na kutafakari maisha yangu wapi nimetoka na wapi ninakwenda. Mwaka jana niliweza kukushirikisha mambo 28 na leo ninakwenda kushirikisha tena mambo 29 niliyojifunza kupitia maisha yangu hapa duniani. …

Kitu Kinachoua Ndoa Nyingi Siku Hizi

Mpendwa rafiki yangu, Natumaini unajua kuhusu biashara hata kama hufanyi, huenda wewe siyo mfanyabiashara lakini kwa asili wewe ni mfanyabishara kwani unafanya mambo mengi sana katika mbadilishano wa thamani. Katika biashara yoyote lazima kuwepo na mtoa huduma na mteja. Vivyo hivyo katika maisha ya ndoa, ndoa nayo ni biashara ikikosa mteja sahihi lazima itakufa kwa …

Bila Ya Watu Hawa Dunia Haijakamilika

Mpendwa rafiki, Dunia ni watu na watu ndiyo dunia. Kuna watu ambao ukikutana nao katika maisha unajuta na kuna wengine ukikutana nao katika maisha yako unafurahi na hata kusema kwanini sikujuana naye mapema lakini, muda sahihi kwako ndiyo huu hakuna kitu ambacho kinatokea kwako kwa bahati bali kila kitu kinakuja kwa wakati wake, kiimani tunaweza …

Dhambi Kubwa Inayotendwa Na Watu Wengi Karne Ya 21

Mpendwa rafiki, Hii ndiyo karne ya kipekee ambayo ina kila aina ya mambo ambayo hayajawahi kutokea tangu kuanza kwa dunia. Kuna mambo ambayo yanatokea sasa hivi mtu aliyeishi miaka ya nyuma hakuweza kabisa kufikiria kama leo duni ingekuwa hivi. Tunaalikwa kufikiri kitandawazi lakini kufanya yale ambayo yanaendana na utamaduni wako. Siyo kila kitu ni cha …

Njia Ambayo Watu Wengi Wanaitumia Kupoteza Muda Wao Asubuhi

Mpendwa rafiki, Kuna watu wanalala hawajui hata nini watakwenda kufanya kesho yake hivyo wanapoamka asubuhi wanakuwa hawajui nini wanatakiwa kufanya. Hapa ndiyo mahali ambapo watu wengi huwa wanaziharibu siku zao kwa kufikiria nini cha kufanya badala ya kufanya. Asubuhi siyo muda kabisa wa kufikiria sasa nifanye nini bali ni muda wa kufanya tu, unatakiwa kabla …

Njia Ngumu Ya Kufanikiwa Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Kila mtu anapata shida kupata kile anachokitafuta, hakuna kitu ambacho kitakuja katika maisha yetu bila ya sisi kuamua. Kama unataka kufanikiwa utafanikiwa kama hutaki kufanikiwa hutofanikiwa ni sisi ndiyo tunayo nafasi ya kufungulia chochote tunachotaka kiingie kwenye maisha yetu hapa duniani. Sisi tumekuwa ufunguo wa kufungua na kufunga hivyo chochote tutakacho karibisha kwenye …

Kitu Pekee Unachoweza Kupata Bila Fedha Hapa Duniani

Mpendwa rafiki, Tunaishi katika zama ambayo kila kitu kinahitaji fedha,ili maisha yetu yawe bora yanahitaji pesa pia na hata mazingira yanayotuzunguka ili yapendeze yanahitaji fedha.  Wako wako ambao wanajifariji kwa ujinga kuwa fedha siyo kila kitu katika maisha yao,haileti furaha hivyo wanatumia kama mwavuli wa wao kuficha uzembe wao wa kutotafuta fedha. Ukichunguza mwenyewe kila …

Design a site like this with WordPress.com
Get started