Fedha ni mfalme kwani karibu kila kitu katika maisha yetu kina dai fedha.Hatuwezi kuishi vile tunavyotaka kama hatuna keshi . Hatuwezi kwenda sokoni kununua kitu kwa maneno, ukienda sokoni unapaswa uwe na keshi mkononi ndiyo uweze kununua kile unachotaka. Katika hali ya kawaida huwa unakuta kitu kinauzwa kwa bei rahisi sana na cha kushangaza unajikuta …
Ningejua Ningefanya Hivi Au Vile
Siku zote majuto hayawezi kubadilisha matokeo ya aina yoyote ile kwenye maisha yetu. Ningejua ningefanya hivi au vile ni maneno ambayo hayana msaada tena katika maisha yako. Kama jambo limeshatokea huna udhibiti nalo tena bali unatakiwa kujifunza kadiri ya majuto hayo uliyoyapata. Majuto ni mwalimu mzuri sana kwani anatufundisha ili siku nyingine tuwe makini kwa …
Siku Zote Kuwa Mkweli Hususani Kwa Mtu Huyu
Ni rahisi kujidanganya wewe mwenyewe na hata kuwadanganya watu wengine. Lakini kuna watu hawajui uongo bali wao wanaamini kuwa kila unachowaambia ni ukweli tu. Ndiyo maana kundi hilo ukiwaambia kitu cha uongo wataendelea kuamini mpaka wanakua na mtu akija kuwaambia hawatamwamini. Watu hao ni watoto wadogo. Siku zote kuwa mkweli hususani kwa watoto wadogo. Siku …
Continue reading "Siku Zote Kuwa Mkweli Hususani Kwa Mtu Huyu"
Huwezi Kufanya Kazi Na Watu Bila Kuwa Na Kitu Hiki
Unaweza kufanya kazi na vitu kama vile kukata kuni, kutengeneza chuma, kulima na vingine vingi tu vinavyohusiana na hivyo bila upendo. Lakini huwezi kufanya kazi na binadamu bila kuwa na upendo.Ukitaka kufanya kazi na watu lazima uwe na upendo na kama unavyojua sisi binadamu ni viumbe vya hisia. Huwa tunajihisi vizuri pale tunapoona watu wanatujali …
Continue reading "Huwezi Kufanya Kazi Na Watu Bila Kuwa Na Kitu Hiki"
Huu Ndiyo Wakati Mzuri Wa Kuonesha Uwezo Wako Kwa Wale Wanaokukataa
Ni kawaida katika jamii yetu hata katika maisha ya kawaida hatuwezi kukubalika na kila mtu. Wako ambao wanakuchukia kwa wewe kumzidi, ile chuki ya kwanini wewe upige hatua ndiyo inamsukuma adui yako akufanyie ubaya. Kiasili, dunia haipendi kuona mtu akipata kitu kirahisi hata siku moja. Lazima ujaribiwe, upitie magumu mpaka pale watakapoona kweli una nia …
Continue reading "Huu Ndiyo Wakati Mzuri Wa Kuonesha Uwezo Wako Kwa Wale Wanaokukataa"
Acha Kujifunga Kisaikolojia
Tumeshazoea kusikia kauli nyingi ambazo watu wamekuwa wanazitumia kama vile ndiyo kifungo kwao. Kwa mfano, wako watu ambao wanasema hawawezi kuishi bila kunywa pombe. Wako watu ambao wanasema hawawezi kuishi na mwanamke mmoja au mwanaume mmoja, yaani yeye lazima tu atachepuka au kutoka nje ya ndoa. Wako ambao wanasema hawawezi kulala bila kufanya kitu fulani. …
Ukienda Kununua Nguo Sokoni
Kila mmoja wetu hapa ameshawahi kununua nguo ya aina yoyote ile. Ulivyokuwa mdogo wazazi wako walikuwa wanakuchagulia karibu kila kitu. Lakini kwa sasa, hawana tena hiyo nafasi bali wewe ndiyo umekuwa mkurugenzi wa maisha yako ambapo unajichagulia kile unachotaka kufanya. Acha tumchukulie mfano mtu anayekwenda kununua nguo, akifika eneo alipoenda kununua nguo atachukua muda kuchagua …
Katika Biashara Hutakiwi Kuwa Na Kitu Hiki
Kila mtu ni mfanyabiashara kwa asili lakini wengine hawajui namna ya kuongea na mteja. Mtu anamchukulia mteja kama vile mtu wa kawaida tu kwake. Wateja hawatakiwi kuchukuliwa kwa namna ya kawaida, bali wanatakiwa kuheshimiwa kwani wao ndiyo wanafanya biashara yako iwe na uhai, kama hakuna wateja basi hakuna biashara hapo. Wateja ni kama vile gari …
Continue reading "Katika Biashara Hutakiwi Kuwa Na Kitu Hiki"
Jinsi Ya Kupata Masaa Ya Ziada Katika Masaa 24 Uliyonayo
Moja ya zawadi ambayo Mungu amempa kila mtu basi ni muda. Tajiri na masikini wote wamepewa muda sawa na kufanya kile anachotaka kufanya. Wote tuna masaa 24 katika siku, hakuna aliye mbele au nyuma na tunapokuja kwenye suala la muda wote tunakuwa sawa. Tofauti yetu inakuja kwenye matumizi ya muda tulionao. Wako ambao wanatumia muda …
Continue reading "Jinsi Ya Kupata Masaa Ya Ziada Katika Masaa 24 Uliyonayo"
Usikubali Anayekuonea Aendelee Kukuonea
Rafiki, Usikubali kuwa mtu wa kuonewa na watu. Na kuchukulia ni kitu cha kawaida tu. "Simamia utu wako na yeyote anayekuonea mfanye ajifunze kwamba uonevu siyo kitu sahihi" Waoneshe wale wote mwenye tabia ya kukuonea kwamba huwezi kuonewa kirahisi. Wafundishe adabu na watajifunza kupitia wewe na wataheshimu utu wako. Binadamu huwa wanatabia ya kukuchukulia vile …