Ushindi wowote ule huwa unaanzia ndani ya mtu. Jinsi akili yake alivyoiandaa na imani yake juu ya kile anachofanya. Ukiingia kwenye mchezo wowote na hisia za kushindwa na kutowezekana lazima utashindwa. Leo tunakwenda kujifunza mtazamo ambao utakusaidia kufanya vitu kwa ubora. Aliyekuwa mwandishi na mhamasishaji Zig Ziglar aliwahi kunukuliwa akisema, mtazamo chanya utakusaidia kufanya vitu …
Continue reading "Huu Ndiyo Mtazamo Utakaokusaidia Kufanya Vitu Kwa Ubora"