Tumeshazoea kusikia kwa watu kuwa rafiki wa kweli utamjua wakati ukiwa na shida. Hilo ni kweli na wala halina ubishi. Hata waswahili wanasema, akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali katika maisha yetu hivyo si ajabu yule ambaye unadai ndiyo rafiki wa kweli akaja kukuangusha. Wale waliosimama na wewe wakati …
Continue reading "Hizi Ndizo Nyakati Mbili Za Kupima Rafiki Wa Kweli"