Leo asubuhi nilipokuwa nasoma kazi za falsafa ya ustoa kwa mstoa Epictetus nikakutana na nukuu yake moja ambayo ilinitafakarisha nikaona ni vema na wewe nikushirikishe kidogo. Napenda kuishi misingi ya falsafa ya ustoa kwa sababu inasimamia ukweli na ni misingi inayoendana na asili. Ukishajua sheria ya asili huwezi kusumbuana na watu. Huwezi kujiangaisha na mambo …
Omba Msaada Eneo Hili
Huwezi kufanya kila kitu peke yako. Na huwezi kuwa vizuri kwenye kila eneo la maisha yako. Kwa mfano, kama uko kwenye biashara na unajua madhaifu yako kwenye kitu fulani, usipoteze muda kufanyia kazi madhaifu yako ili uwe imara kwenye eneo hilo. Hasara moja utakayopata pale utakapokazana kuboresha udhaifu wako eneo fulani ili uwe vizuri ni; …
Jinasue Kama Umejikuta Umenasa Sehemu Hii
Wako watu ambao huwa wanatumia silaha za ushawishi kuhakikisha wanakipata kile wanachotaka kutoka kwako. Wewe huwezi kujijua umenasaje ila kutokana na ushawishi mkubwa unajikuta umenasa sehemu fulani. Wakati mwingine huwa unashawishika kwenye vitu vingi, kwa sababu mtu anayekushawishi huwa anacheza na hisia zako bila ya wewe kujijua. Unapaswa kuwa makini sana kufanya maamuzi pale unapojikuta …
Continue reading "Jinasue Kama Umejikuta Umenasa Sehemu Hii"
Hiki Ndiyo Kitu Kinachotibu Watu Wengi
Kama umeshindwa kuwapenda watu basi angalau usiwaumize aliwahi kusema Mahatma Gandhi Mara nyingi huwa unawaumiza watu, unaua watu kwa sababu ya kukosa upendo. Mtu mwenye upendo hawezi kumuumiza mwenzake. Kama kweli tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu iweje sasa umuumize mwenzako? Huwezi kutoa kile ambacho huna hata siku moja. Hii ina maana kwamba kama …
Kutana Na Watu Hawa Kwenye Maisha Yako
Watu wengi huwa wanafanya kitu pale wanapokuwa wanaongozwa na hamasa. Kwa mfano, mtu akisoma kitabu akipata tu maarifa kidogo anapata msukumo wa kwenda kufanya kile kilichopo ndani yake kwa hamasa kubwa. Muda mzuri wa kufanya kile unachotaka kufanya ni pale unapokuwa na hamasa ya juu ya kufanya kile unachotaka kufanya. Usisubiri mpaka moto wa hamasa …
Huyu Ndiyo Mtu Wa Kwanza Unayepaswa Kumwamini
Watu wengi wako tayari kuwasikiliza kile wanachosema wengine na kudharau kile wanachosikia kutoka ndani yao.Wengi wamekuwa wanaishi maisha ya watu wengine kwa sababu ya kutokujiamini kwenye kile wanachoona kinafaa kwenye maisha yao. Mtu wa kwanza unayepaswa kumwamini kwenye maisha yako ni wewe mwenyewe. Usipojiamini wewe mwenyewe kwenye kile unachofanya hakuna mtu atakayeweza kukuamini. Watu wanataka …
Continue reading "Huyu Ndiyo Mtu Wa Kwanza Unayepaswa Kumwamini"
Hiki Ndicho Kitu Anachokipenda Sana Mwanamziki 50 Cent Na Kimemsaidia Kuwa Na Mafanikio Makubwa
Wiki hii ninasoma kitabu cha Hustle Harder, Hustle Smarter kilichoandikwa na mwanamziki 50 Cent. Curtis Jackson ndiyo jina halisi la mwanamziki 50 Cent. Ukisoma kitabu chake utaona namna gani alivyopambana kutoka katika maisha ya mtaani mpaka kufikia mafanikio makubwa. Kila kitu kinawezekana kama yeye aliweza kuanzia chini huku akiwa mtaani na mzazi wake alipigwa risasi …
Jiunganishe Na Kitu Hiki Kwa Gharama Yoyote Ile
Wakati mwingine huwa tunazingua ndiyo maana hatupati kile tunachotaka. Hupati kile unachotaka kwa sababu hujajiunganisha na kile unachotaka. Ujumbe muhimu sana ninaokusihi uondoke nayo hapa ni kwamba, nenda kajiunganishe na madhabu au altare ya kule unakotaka kufika. Kwa mfano, kama wewe unamwimini Mungu basi nenda kajiunganishe na altare au madhabu yake kwa gharama yoyote ile. …
Continue reading "Jiunganishe Na Kitu Hiki Kwa Gharama Yoyote Ile"
Jifunze Kufanya Kitu Hiki Na Hutakua Na Maisha Magumu
Maisha yetu yametawaliwa na kuuza. Na wale wanaoweza kuuza vizuri ndiyo wanaofanikiwa sana. Huwezi kupokea kama huna unachotoa. Kila mmoja wetu kuna kitu anakiuza ndani yake iwe una biashara au umeajiriwa. Ukiwa umejiriwa unakuwa unauza vitu viwili muda na ujuzi wako. Kila mtu ana thamani inayomfanya aweze kulipwa vizuri. Shida ni kwamba thamani uliyonayo haiwezi …
Continue reading "Jifunze Kufanya Kitu Hiki Na Hutakua Na Maisha Magumu"
Siku Zote Mambo Huwa Hayawi Hivi
Mambo hayawi kama vile unavyohofia. Unachokihofia wala huwa hakitokei. Usitengeneze hofu ambayo haipo katika uhalisia. Huna haja ya kuhofia kesho itakuwaje kwa sababu siyo jukumu lako. Kesho itakuja kama vile ilivyopangwa kutokea. Usihofie yajayo yatakuwaje, wewe fanya kile unachopaswa kufanya sasa, yajayo yatajipanga yenyewe. Wako ambao wanajipanikisha kwa kufikiria mambo yajayo yatakuwaje.Fanya yako na iachie …