Katika maisha, kuna watu wengi tunakutana nao.Lakini kuna watu wachache sana ambao wana mchango wa moja kwa moja kwenye maisha yako ya kila siku.Hawa ni:bosi wako, wateja wako, na yeyote anayekulipa. Kuwadharau au kuwachukulia kirahisi watu hawa ni kujichimbia shimo mwenyewe. Heshima si unafiki, ni akili ya maisha Watu wengi huchanganya heshima na unafiki.Ukweli ni …
Continue reading "January 25: Heshima kwa Bosi, Mteja na Watu Wanaokulipa"