"Mawazo ya wenye bidii huelekea utajiri tu, bali kila mwenye pupa huelekea uhitaji" alisema mwandishi wa kitabu cha Mithali. Katika kila jambo kuhitaji bidii. Bidii ni nguvu iwezeshayo mtu kufikia malengo yaliyo mbele yake. Kitu hicho ni bidii. Chagua kuweka bidii kwenye kazi na utafanikiwa sana. Chagua kuweka bidii kwenye ndoa, mahusiano yako kwa ujumla …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Unachoweza Kuchagua Kuweka Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako"