Baada ya kufika kileleni, hatua inayofuata mara nyingi ni kiburi.Hii ndiyo sumu ya mafanikio makubwa. Ni ile sauti ya ndani inayokuambia, “Sasa unajua kila kitu. Huna haja ya kusikiliza mtu yeyote. Wengine wote wako chini yako.” Ni rahisi sana kuingiwa na fikra hizi unapokuwa umepata mafanikio makubwa — unapokuwa unaheshimiwa, unasifiwa, na jina lako linazungumzwa …
Continue reading "Epuka Anguko Baada ya Mafanikio – Sehemu ya Pili: Kiburi Kinaanza Kukuua Taratibu"