Kuna kauli inayorudiwa sana na watu wengi: “Kama unataka kufanikiwa, lazima uchukue risk.”Ni kweli, lakini si kila risk ni ya busara.Wengi wameangamia si kwa sababu hawakuwa na ndoto, bali kwa sababu walikosa hekima ya kutofautisha kati ya risk nzuri na risk ya kijinga. Waliowahi kufanikiwa sana duniani — wajasiriamali wakubwa, wawekezaji, au viongozi — hawakuwa …
Continue reading "USIWE MJASIRI WA KUPOTEZA – KUWA MJASIRI WA KUJILINDA"