Mpendwa rafiki, Kuna sifa nyingi ili uwe mwanamafanikio lakini kuna sifa moja inayokutoa njeya kundi kabisa. Mtu yeyote atakayeniuliza leo kama anataka kufanikiwa afanye nini basi mimi nitamjibu mara moja bila kusita abadilishe kwanza mtazamo wake. Hakuna kitu kigumu kama mitazamo ya watu waliyoaminishwa tangu kizazi hadi kizazi. Mitazamo hiyo inaendelea kuwa kama minyororo kwa …
Continue reading “Sifa Pekee Inayokutoa Katika Kundi La Wanamafanikio”