Sababu Moja Kwanini Watoto Wengi Wa Siku Hizi Siyo Wabunifu

Mpendwa rafiki yangu, Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, hatutakiwi kuwabagua tunaalikwa kuwapokea na kuwalea kadiri Mungu anavyotujalia. Mzazi amepewa majukumu mengi kupitia mtoto na jukumu la kwanza mzazi ndiye kuhani mkuu kwa mtoto wake, jukumu la malezi ni la wazazi wote wawili ndiyo mpango mzuri, mtoto anayepata malezi ya baba na mama ni tofauti …

Mambo Siyo Rahisi Kama Unavyofikiria Hivi

Mpendwa rafiki yangu, Katika maisha yetu ya kila siku hakuna kitu ambacho ni kirahisi, kila kitu katika maisha yetu kinahitaji kazi. Maisha yoyote uliyojichaguliwa kuishi siyo marahisi yanahitaji kazi kweli kweli. Rafiki, siyo rahisi kama vile unavyobadilisha chaneli katika TV, umekaa kwenye kochi umeshika rimonti yako basi unabadilisha chaneli unayotaka. Maisha hayako hivyo kabisa unatakiwa …

Njia Inayotumiwa Na Watu Wengi Kujikatisha Tamaa

Mpendwa rafiki yangu, Kama ukiwakimbiza sungura wawili kwa wakati mmoja basi hutoweza kumkamata hata mmoja. Katika maisha unatakiwa kila kitu ukifanye kwa muda wake, kila jambo lina muda wake na hutakiwi kulazimisha na ukilazimisha ni kama vile kukimbiza sungura wawili kwa wakati mmoja. Huwa tunatabia ya kutaka vitu vingi kwa wakati mmoja sasa hii tabia …

Kabla Hujasikiliza Watu Fanya Kitu Hiki Kwanza

Mpendwa rafiki, Mara nyingi huwa tunapenda kuwasikiliza watu kuliko hata kujisikiliza sisi wenyewe. Wengi wetu tunaishi katika ndoto ambazo siyo zetu kabisa, huenda hata hapo ulipo unaishi ndoto ambayo siyo yako kabisa, huenda hufurahii maisha yako, kazi unayoifanya na unaona bado kuna kitu hakipo sawa katika maisha yako. Dunia ya sasa watu wamevurugwa, kila mtu …

Hawa Ndiyo Watu Unaotakiwa Kuchangamana Nao

Mpendwa rafiki, Kuna sheria moja inaitwa law of attraction yaani sheria ya uvutano hivyo basi katika maisha yetu yule mtu au watu unaokaa nao muda mrefu unajikuta unakuwa kama wao, maisha yetu ni kama sumaku unavuta wale watu wanaoendana na wewe, kama wewe unapenda mafanikio utawavuta watu wanaofanana na wewe. Ulivyokuwa mdogo wazazi wako walikuwa …

Jinsi Ya Kupata Fedha Zaidi

Mpendwa rafiki, Fedha ni mbadilishano wa thamani. Je unatoa thamani gani?  katika dunia ya sasa mtu unalipwa kadiri ya thamani unayoitoa sokoni kama huna thamani unayoitoa hutoweza kupata fedha. Fedha ni ngumu kupatikana, tunatumia nguvu, muda na tunaipata kwa jasho na maumivu makubwa na hiyo ndiyo asili ya kupata fedha siyo rahisi hata kidogo lazima …

Zoezi Gumu Linalowashinda Watu Wengi Siku Hizi

Mpendwa rafiki, Watu wanaweza kuzingia kila aina ya sababu lakini sijawahi kusikia mtu amesingizia katika zama hizi kuwa amekosa muda wa kushika simu yake ya mkononi. Simu amekuwa anashika nafasi za watu wengi na mahusiano mengi yanazidi kuharibika kupitia simu hizi zetu za mkononi. Watoto, mke, mume , jamaa au marafiki hawana nafasi ya kwanza …

Kama Umekosa Kitu Hiki Usithubutu Kujiajiri

Mpendwa rafiki, Huwa sina laini katika mafundisho yangu yote niliyotoa na ninayoendelea kutoa. Ninasema ukweli pale  ukweli unapostahili. Je unataka kufanikiwa? Kama jibu lako ni ndiyo je unapenda kufanya kazi? Kama hupendi kazi basi huwezi kufanikiwa huo ndiyo ukweli. Hakuna mtu yeyote aliyefanikiwa bila kufanya kazi, kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwenye kila eneo la …

Kama Unataka Kushinda Usitumie Fumula Hii

Mpendwa rafiki, Usipojiandaa kushinda basi, unajiandaa kushindwa. Ndiyo asili iko hivyo usitegemee kushinda kama hujajiandaa kushinda, kila kitu katika maisha kinahitaji ulipie gharama yake na waswahili wanasema ukiona vya elea ujue vimeundwa. Hakuna kitu cha bure lazima ukubali kulipia gharama ili uweze kupata kile unachotaka kupata kwa wakati fulani. Ziko fumula nyingi sana katika maisha …

Hii Ndiyo Ahadi Uliyoweka?

Mpendwa rafiki, Pale mwaka mpya wa 2018 ulipoanza kila mtu alikuwa na hadithi nzuri sana ya kusimulia mwaka huu, wengi walisimulia kuwa watafanya mambo mengi na hata kuandika wengine waliandika na wakaanza kufanya siku za mwanzoni. Lakini je hiyo ndiyo ahadi uliyojiwekea na unachofanya sasa hivi? Tulijiwekea ahadi za kufanya makubwa je hicho unachofanya sasa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started