Mpendwa rafiki yangu, Asilimia kubwa ya wanandoa wanaishi maisha ya usiri yaani hakuna utandawazi kila mtu anajua mambo yake mwenyewe. Na usiri mkubwa uko katika masuala ya fedha, hofu imetawala ndani ya maisha ya ndoa kila mmoja anajihami ili siku likitokea basi anajua anakimbilia wapi. Watu wanaishi maisha ya pamoja lakini hawajaingia wazima wazima katika …
Category Archives: Uncategorized
Jinsi Yakujiondoa Katika Madeni
Mpendwa rafiki yangu, Kuwekuwa na kauli hasi sana zinazohamasisha watu kukopa katika jamii yetu, tena kuna wengine wanasema mtu asipokopa basi hajaumiza akili, wengine wanasema mkopo ndiyo kipimo cha akili utakaaje bila kudaiwa wewe wakati hata serikali inadaiwa. Watu wote wanaokimbilia kusema hayo ni wanakimbilia kuficha uzembe wao wa kutokufanya kazi. Kudaiwa siyo sifa nzuri …
Hii Ndiyo Dawa Ya Umasikini
Mpendwa rafiki yangu, Hakuna kitu kibaya kama umasikini kwa lugha rahisi tunaweza kusema umasikini ni laana, usipite mbele ya watu nakujisifia eti wewe ni masikini. Umekosa kitu gani mpaka ujiite masikini una kila kitu halafu bado unajiita masikini. Mtu mmoja katika kitabu cha from victim to victor anasema nchi yetu huwa inatoa chakula cha kutosha …
Vitu Viwili Vya Kuwa Navyo Katika Safari Ya Mafanikio
Mpendwa rafiki, Tunapokuwa tunasafiri huwa tunatafuta vitu ambavyo vitakuwa vinatupa kampani njiani ndiyo maana ukiingia hata kwenye mabasi utakuta wamekuwekea tv uungalie ili usiboreke na ufurahie safari yako. Wengine huwa wanakuwa na iya foni zao wakisikiliza mziki, wengine wanaingia wanatumia muda huo kutembelea mitandao ya kijamii na wengine watachukua vitabu vyao na kujisomea ili mradi …
Continue reading “Vitu Viwili Vya Kuwa Navyo Katika Safari Ya Mafanikio”
Hawa Ndiyo Watu Adimu Kupatikana Siku Hizi
Mpendwa rafiki, Kila mtu anatamani kuwa na maisha anayoyataka hapa duniani. Hata wewe rafiki yangu kuna maisha unayoyataka hapa dunia na hakuna mtu anayelenga kuwa na maisha ya hivyo si ndiyo eeh! Kila mmoja wetu analenga kuwa na maisha mazuri. Hatuwezi kufanikiwa bila rasilimali watu, tunaweza kujiambia jeshi la mtu mmoja lakini huwezi kufanya kila …
Continue reading “Hawa Ndiyo Watu Adimu Kupatikana Siku Hizi”
Faida Moja Kubwa Ya Kusoma Vitabu
Mpendwa rafiki yangu, Itakuwa ni litania ndefu nikianza kuandika faida za kusoma vitabu, huwa ninasema ukitaka kujua faida za kusoma vitabu anza kusoma vitabu ndiyo utaiona. Huenda mara yako ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ulivyomaliza chuo, kidato cha nne, sita au darasa la saba hivyo ukikiona kitabu kama vile unaona kituo cha polisi. Hapa sihamasishi …
Haya Ndiyo Maisha Ambayo Hayahitaji Usiri
Mpendwa rafiki yangu, Timu ya mpira wa miguu inapoingia uwanjani kwa ajili ya kucheza huwa inakuwa na wachezaji kumi na moja hata kama mchezaji ni hodari kiasi gani lakini hawezi kufanikiwa kufunga goli bila juhudi za wachezaji wenzake. Hivyo basi, mafanikio yoyote yanadai umoja na ushirikiano bila umoja na ushirikiano katika timu hakuna mafanikio. Vivyo …
Continue reading “Haya Ndiyo Maisha Ambayo Hayahitaji Usiri”
Huyu Ndiye Mteja Wako Wa Kwanza Kama Wewe Ni Mwajiriwa
Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu ni muuzaji, kila mtu kuna kitu anauza iwe umejiajiri, umeajiriwa au huna ajira kuna kitu unachouza. Tuko duniani kwa ajili ya kuuza ujuzi na maarifa tuliyonayo kwa ajili ya wengine, ili dunia ikue na tunatakiwa mimi na wewe tukue kwanza, tukibadilika sisi basi mabadiliko tunayotaka kuyaona tutayaona kweli katika maeneo …
Continue reading “Huyu Ndiye Mteja Wako Wa Kwanza Kama Wewe Ni Mwajiriwa”
Sababu Moja Kwanini Fedha Zinakukimbia Kila Siku
Mpendwa rafiki yangu, Katika masuala ya fedha inatakiwa kuelezana ukweli hakuna kuweka laini kwa sababu laini inawafanya watu wazidi kupata shida. kila siku imekuwa ni wimbo watu kulalamika kwamba uchumi au mambo ya fedha yamekuwa magumu lakini kitu ambacho kinanishangaza ni watu ambao wanalalamika kutochukua hatua ya kuongeza kipato. Mwanasayansi albert Einstein aliwahi kusema ujinga …
Continue reading “Sababu Moja Kwanini Fedha Zinakukimbia Kila Siku”
Usikubali Kuibiwa Kitu Hiki Ndani Ya Juma Hili
Mpendwa rafiki, Tumezoea kuwaona mabihili wa fedha katika jamii yetu, huenda hata wewe ulishawahi kuitwa huyu jamaa ni bahili kweli yaani wewe siyo mtu rahisi kutoa hela nje una mgumu sana ndiyo watu wanavyomaanisha. Lakini ninatumaini hujawahi kumsikikia bahili mmoja ambaye ni adimu kupatika katika jamii yetu, niliwahi kuandika babhili adimu kupatikana katika jamii yetu, …
Continue reading “Usikubali Kuibiwa Kitu Hiki Ndani Ya Juma Hili”