Mpendwa rafiki yangu, Mtu mmoja alisema hakuna kazi ngumu kama kuongoza watu, ni bora kuongoza kondoo wataweza kwenda njia moja lakini siyo watu. Kuongoza watu ni kama vile kuswaga paka kila mmoja atakimbilia njia yake anayetaka yeye lakini ukiswaga kondoo wote wataenda njia moja. Hapa unaweza kuona kuwa ni ngumu sana kuwabadilisha watu vile unavyotaka …
Continue reading “Jinsi Ya Kumbadilisha Mwenza Wako au Mtu Yeyote Yule”