Wakumbushe Watu Kwenye Kile Unachotaka Kufanikiwa

Mpendwa rafiki yangu, Sisi binadamu tunaasili ya kusahau. Muda mwingine tunaweza kuwaambia watu kitu na wasikitekeleze badala ya sisi kuwambusha tunaanza kuumba mambo mengine mengi. Wengine watasema mtu fulani anajisikia au ana dharau na mengine. Ukweli ni kwamba watu wana mambo mengi. Na hakuna mtu anayefikiria mambo yako muda wote. Kila mtu ana mambo yake …

Kubali Kufanya Hiki Kama Unataka Mabadiliko

Rafiki, Kila mtu anataka mabadiliko katika maisha yake lakini, Asili ya mabadiliko ni maumivu na watu kwa kuwa hawapendi kujisumbua na hawapendi maumivu basi ndiyo maana hawataki kusikia kitu kinachoitwa mabadiliko. Habari njema ni kwamba mabadiliko yoyote huwa hayamwachi mtu salama. Aidha unataka au hautaki mabadiliko lazima yatakuathiri kwa namna yoyote ile. Ukikataa kujibadilisha mwenyewe, …

Haya Ndiyo Maisha Mzigo Kwako

Rafiki, Kukosa kutumia maarifa sahihi karibu sehemu nyingi ya maisha yetu inatulazimu kupata kile ambacho hatukutakiwa kukipata. Maisha bila kutumia maarifa yanakuwa hayana maana, kwa kifupi yanakuwa ni maisha ya mazoea. Jamii yetu imekuwa inaishi maisha ya kawaida sana. imekuwa inaishi maisha ya mazoea kiasi kwamba mtu anayeishi maisha yake inakuwa inamnyanyasa sana. Jaribu kuangalia …

Siri Tatu Za Fedha Unazopaswa Kuzijua

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni jawabu la mambo yote. Kila mtu analitambua hilo bila ubishi wowote ule. Kama tunavyojua kuna aina nyingi za michezo na bahati nzuri ni kwamba kila mchezo una sheria zake na kama ilivyo michezo hiyo mingine kuwa na sheria hata fedha nayo iko hivyo hivyo ina sheria zake na anayeshindwa kwenda …

Rasilimali Ambayo Watu Wanaitumia Vibaya Na Kushindwa Kuwainua Kiuchumi

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ina rasilimali nyingi sana ambazo tukizitumia vema wala hatutakuja kujutia hata siku moja.  Kama huna kazi ya kufanya basi usitumie muda wako hovyo kuupoteza bila kuufanyia kitu cha maana. Hivi unajua kuwa tuna muda wa kufanya vitu muhimu lakini hatuna muda wa kufanya kila kitu. Binadamu tuna asili ya uvivu na …

Msingi Pekee Wa Mafanikio Wa Kumjengea Mtoto Wako

Kuishi kila siku ni zawadi ya kipekee sana. je unaitumia hiyo zawadi vizuri? Umeitwa kuwa baba au mama je unaitumia vizuri nafasi yako? Kitu chochote bila msingi lazima kitaanguka chini. Hata nyumba isipokuwa na misingi lazima ianguke chini vivyo hivyo kwa vitu vingine. Familia yako kama haina misingi ni rahisi kuanguka chini, kila sehemu makini …

Ukivishinda Vita Hivi Tayari Wewe Ni Mshindi

Kuna kitu kimoja ambacho kinawasumbua sana watu wengi. Kila mmoja wetu alishawahi kukutana nacho pale alipoanza kufanya kitu kipya kwa mwanzo. Huwa tunakuwa tunavita vya nafsi vinavyopambana katika hatua za mwanzo kabisa za kuanza kitu kipya. Kitu kinachoua ndoto za watu wengi ni hofu. Hakuna ngumu inayomaliza watu wengi kama hofu ya kuanza kitu kipya. …

Inatosha Sasa Kusherekea Mafanikio Ambayo Siyo Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anapenda kuona mafanikio yakiwa ndani yake hata kama huna mafanikio fulani lakini unatamani kuwa nayo, najua kila mmoja wetu hayuko vizuri kwenye kila eneo la maisha yake hivyo wote tunahitaji kuongeza juhudi kuhakikisha maisha yetu yanakuwa bora sana. Hatuwezi kujitosheleza kwa kila kitu kwa sababu, kujitegemea siyo kujitosheleza. Ili …

Usikubali Kitu Hiki Kiharibu Utulivu Wako Wa Akili Wiki Ndani Ya Wiki Hii

Mpendwa rafiki yangu, Bila kuwa na utulivu wa akili hatuwezi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Akili zetu zinapokuwa zinataharuki basi huwa tunafanya uzalisha mbovu na hata maamuzi yanakuwa siyo mazuri sana ukilinganisha na akili inapokuwa na utulivu wa kutosha. Kuna mambo mengi ya kila siku ambayo yanavuruga kabisa utulivu wa akili zetu hivyo yanapelekea kuwa …

Kama Unataka Kufanikiwa Katika Jambo Fulani Fanya Maamuzi Haya Mawili

Mpendwa rafiki yangu, Mtu ambaye hapendi kufanikiwa huenda akawa anatatizo la akini. Ni asili ya kila mmoja wetu kupenda vitu vizuri hata hivyo kiimani Mungu ametujalia mambo mazuri. Hatuwezi kula mambo mazuri pasipo kufanya mambo ambayo yatatupeleka katika kile tunachotaka. Kam unataka bora,lazima ukubali kupoteza kitu kizuri ili upate bora. Ndivyo ilivyo, unapenda kufanikiwa hivyo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started