Kwa asili tu hakuna kitu kinachotokea kwa njia rahisi, asili huwa haifanyi kazi kwa njia za miujiza ya haraka hata siku moja. Kwa mfano, ulishawahi kuona mwembe umepandwa leo na leo uzae? Vipi sisi binadamu tunafanya kazi leo na tunataka mafanikio ya haraka? Asili ndiyo inaleta mafanikio ya kweli na ya uhakika. Hakuna mafanikio yanayokuja …
Continue reading “Mafanikio Yoyote Yale Kamwe Hayaji Kwa Njia Hii”