Njia Rahisi Ya Kufanya Makubwa

Uko duniani kwa sababu, hakuna ambaye yuko duniani bila sababu maalumu.Una kusudi ndiyo maana unaishi. Je swali la kujiuliza unaishi kulifanyia kazi kusudi lako au unaishi tu ili mradi siku iende? Wako ambao wamejiwekea malengo ya kutafuta tu hela ya kula na wako ambao wamejiwekea malengo makubwa ya kuwa na fedha nyingi hatimaye kuwa na …

Hivi Ndivyo Soko Linavyokuwa Halina Huruma

Kwa kuanza tu hivi unafikiri ni nani anayepanga bei ya maembe sokoni? Au kitu chochote kile? Unaweza ukawa na maoni mengi juu ya hili ila ukweli ni kwamba soko huwa linajiendesha lenyewe na ndiyo maana nimekuambia hivi soko huwa halina huruma linapoamua kufanya kitu huwa haliangalii sura ya mtu. Soko linaamua kama vile asili inavyoamua …

Faida Moja Ya Kufanya Kazi Kwa Juhudi

Wale wote waliofanikiwa usione kama wamefanikiwa kwa bahati licha ya bahati nayo inahusika katika mafanikio. Bahati huwa haiji huku tukiwa tumeweka mikono mifukoni bali huku tukiwa tunajituma zaidi. Watu wote wenye bahati ni wale wanaofanyia kazi mawazo yao.Kama ungefanyia kazi mawazo yako leo hii ungekuwa wapi? Angalia mawazo yako yote ambayo hujayafanyia kazi kama leo …

Usiogope Historia Ya Maisha Yako

Huwa tukifikiria historia ya maisha yetu, kule tulikotoka na tukijilinganisha na wengine huwa tunajiona na kujikuta kama vile hatuna maana hapa duniani. Siyo kila mmoja wetu historia yake ni nzuri, ni wachache sana wanatokea katika familia zenye historia nzuri lakini wengine ni historia mbaya wala hazifai kusomwa mbele za watu hata kuandikwa kwenye vichwa vya …

Huu Ndiyo Muda Mzuri Wa Kuishi

Jinsi tunavyoishi na kutumia muda wetu utafikiri kama vile tutaishi milele. Tunatumia muda wetu vibaya, tunasogeza mambo mbele tunafikiria kuwa labda mambo baadaye yatakuwa ni mazuri zaidi ya sasa. Tunafikiria kuwa kuna muda mwingine mzuri wa kuishi. Kumbe tunajidanganya sisi wenyewe. Muda mwingine mzuri wa kuishi ni sasa. Kwa sababu wakati wa sasa ndiyo una …

Tabia Zinatengenezwa Pale Tunapopitia Magumu

Ruben Gonzalez aliwahi kunukuliwa akisema, tabia zinatengenezwa pale tunapopitia magumu. Kwa kuwa watu ni wagumu katika kujenga tabia lakini linapokuja suala la hatari watu wanakuwa makini sana kuchukua tahadhari juu ya jambo litakalojitokeza. Sisi watanzania tumekuwa na utamaduni wetu wa kusalimiana kwa kupeana mikono na ni ngumu kuacha tabia hiyo kirahisi lakini kwa kuwa tabia …

Asilimia 95 Ya Kila Unachofanya Kinatokana Na Hiki

Mwanafalsafa Aristotle, aliwahi kunukuliwa akisema, asilimia 95 ya kila kitu wanachofanya watu, ni matokeo ya tabia. Kumbe, hata wewe kusoma kila siku kupitia mtandao huu ni tabia ambazo umejijengea. Kuamka mapema kila siku ni tabia ambazo umejijengea. Hakuna mtu ambaye amezaliwa na tabia fulani bali, tabia zote ambazo tunazo leo tumezitengeneza sisi wenyewe. Mtu mmoja …

Kama Hupendi Fedha Zako

Fedha ni zao la thamani. Na huwa wote tunalipwa kadiri ya thamani tunayotoa sokoni. Kama thamani yako ni kubwa utalipwa zaidi na kama thamani yako ni ndogo utalipwa kidogo. Ni asili ya binadamu kuwa usipopenda kitu chako mwenyewe hakuna atakayekipenda. Tukirudi katika fedha, usipozipenda fedha zako mwenyewe hakuna atakayezipenda.Kumbe basi, kila mtu anaalikwa kuzipenda fedha …

Jinsi Ya Kuwa Mtu Makini Kwenye Maisha Yako

Dunia yetu inahitaji watu makini sana karibu kila eneo la maisha yetu tunahitaji watu makini.Watu wasipokuwa makini mambo mengi yataathirika. Kama hakuna watu makini basi kuna wazembe na hawa wazembe ndiyo wanaoleta madhara katika maisha yetu. Leo tunakwenda kujifunza jinsi ya kuwa makini kwenye kila eneo la maisha yetu. Ipo njia rahisi sana ya sisi …

Huu Ndiyo Msingi Wa Uzalishaji

Kila mtu ana kitu ambacho anazalisha. Na unapozalisha kitu unapata matokeo ya kile unachozalisha. Iko njia ya kuongeza uzalishaji kwenye kile unachofanya. Na msingi mkuu wa uzalishaji kwenye kile unachofanya ni kuongeza thamani. Kuongeza thamani ndiyo msingi mkuu wa uzalishaji. Kile unachozalisha jitahidi sana uongeze thamani kwa sababu kila mtu anazalisha je wewe unazalishaje? Kafanye …

Design a site like this with WordPress.com
Get started