Unatakiwa kuwa na picha ndani ya akili yako ya vile unavyotaka kuwa. Kwa mfano, kama unataka gari la ndoto yako basi hakikisha unakuwa na picha ya gari hilo ndani ya chumba chako. Kama unataka kujenga nyumba, kuwa na ramani ya nyumba hiyo ibandike hata chumbani kwako uwe unaingalia kila siku na kujinenea mazuri. Hakuna kitu …
Category Archives: Uncategorized
Huyu Ndiye Anayepanga Bei Ya Vitu Sokoni
Hivi ulishawahi kujiuliza ni nani anayepanga bei ya maembe sokoni? Kuna kipindi unakuta bei ya kitu fulani iko juu sana, wakati mwingine unaikuta chini je ni nani anayefanya kazi hii ya kushusha na kupandisha bei? Mtu anayehusika kupanda bei ya vitu sokoni ni soko lenyewe na si kitu kingine.Soko huwa linaamua vile linavyotaka na wala …
Kamwe Huwezi Kuwa Masikini Kama Ukiishi Hivi
Kama ukiyaendesha maisha yako kulingana na asili kamwe huwezi kuwa masikini. Kama ukiyaendesha maisha yako kulingana na maoni ya watu kamwe huwezi kuwa tajiri. Aliwahi kusema mwanafalsafa Epicurus Asili huwa haina mambo mengi,inataka mambo machache ambayo yako ndani ya uwezo wa kila mmoja wetu. Asili huwa haijali uko katika hali gani. Kwanini mtu akiishi kulingana …
Continue reading “Kamwe Huwezi Kuwa Masikini Kama Ukiishi Hivi”
Kitu Ambacho Binadamu Hapendi Kufanyiwa Kwenye Maisha Yake
Kisaikolojia binadamu wanapenda kuhisi kuthaminiwa, kuhusishwa, kupendwa na kujaliwa. Ndiyo maana unakuta mtu mwingine anaweza kulalamika kuwa kwanini hajahusishwa katika jambo fulani. Unapomhusisha mtu naye anajisikia kuona anaaminika, anapendwa na kuthaminiwa pia. Kitu ambacho binadamu hapendi kufanyiwa kwenye maisha yake;Ni kufanyiwa MAAMUZI. Kila binadamu anapenda kufanya maauzi yake mwenyewe, anapenda kushirikishwa kwenye mchakato wa maamuzi. …
Continue reading “Kitu Ambacho Binadamu Hapendi Kufanyiwa Kwenye Maisha Yake”
Eneo Ambalo Watu Wengi Huwa Wanalikimbia
Hakuna kitu kinachopatikana kirahisi. Chochote unachotumia kikiwa tayari unaweza kukiona kama vile kilipatikana kirahisi lakini sivyo. Kwa mfano, umeshazoea kula chakula lakini hujawahi kupitia mchakato wa uandaaji wa chakula. Mwalimu kabla hajaingia darasani lazima apitie mchakato wa uandaaji wa somo. Mwandishi kabla hajaandika lazima apitie mchakato wa uandaaji wa kile anachotaka kwenda kukiwasilisha. Eneo ambalo …
Ujue Ujumbe Muhimu Kwako Kutoka Kwa Aliyekuwa Raisi Wa Awamu Ya 40 Wa Marekeni
Kama una imani kuwa kiongozi fulani atakwenda kubadilisha maisha yako basi bado hujajitambua. Anayehusika kwa asilimia mia moja na maisha yako ni wewe mwenyewe. Hata kama ulimpigia mtu kwa imani kuwa atakwenda kubadilisha maisha yako, hapo umejidanganya. Fanya uchaguzi leo wa kuamua kubadili kabisa maisha yako siku ya leo.Leo ndiyo siku pekee ya kuamua kubadilisha …
Continue reading “Ujue Ujumbe Muhimu Kwako Kutoka Kwa Aliyekuwa Raisi Wa Awamu Ya 40 Wa Marekeni”
Hili Ndiyo Lengo Kuu La Mahusiano
Kila mmoja wetu yuko katika mahusiano kadiri ya vina saba. Hakuna mtu ambaye hayuko katika mahusiano. Ukisema hauko katika mahusiano maana yake wewe hujazaliwa na binadamu. Mahusiano ni muhimu sana maana wewe siyo mti kusema kwamba hutohusiana na watu wengine. Lazima uhusiane na watu wengine ili maisha yako yaweze kwenda. Kwani karibu kila kitu tunachotaka …
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Watu Wanakipata Kwa Shida Sana
Sisi binadamu huwa tunajisahau sana pale tunapofanikiwa kupata kile tulichokuwa tunataka. Ni rahisi kusahau hata maaumivu tuliyopitia mpaka tukafanikiwa. Baada tu ya kupata maumivu nayo yanapotea ghafla. Kuna kitu ambacho watu huwa wanakipata kwa shida na wakikipata wanakuja kukitumia vibaya na kusahau machungu yote. Kitu hiko ni fedha. Watu wanapata fedha kwa shida sana. Wanatoa …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Watu Wanakipata Kwa Shida Sana”
Ukitaka Kufika Mbali Anza Na Hiki
Ili watu waweze kujua una nini ndani yako lazima uanze kwanza kutoa kile ulichonacho ndani yako. Ukitaka kufika mbali kwenye kile unachotaka anza kwanza kutoa kile ulichonacho. Watu hawawezi kujua una nini ndani yako kama hujaanza kukitoa kile unachojua. Usikae na kile unachojua tu bila kukitoa maana usipokitoa huwezi kufanikiwa. Unafanikiwa zaidi pale unapotoa zaidi. …
Hii Ndiyo Sauti Ambayo Mtu Anapenda Kuisikia
Hakuna sauti ambayo watu wanapenda kuisikia kama sauti ya jina lake.Watu wanapenda kusikia wakiitwa majina yao, hii inawafanya wajisikie kuthaminiwa na ni watu wa thamani. Watu huwa wanapenda kufanya kila namna ili tu majina yao yaweze kukumbukwa. Kwa mfano, matajiri wengi wako radhi hata wajenge majengo kwa msaada lakini waitwe majina yao. Watu wanapenda kuitwa …
Continue reading “Hii Ndiyo Sauti Ambayo Mtu Anapenda Kuisikia”