Wakati mwingine huwa tunazingua ndiyo maana hatupati kile tunachotaka. Hupati kile unachotaka kwa sababu hujajiunganisha na kile unachotaka. Ujumbe muhimu sana ninaokusihi uondoke nayo hapa ni kwamba, nenda kajiunganishe na madhabu au altare ya kule unakotaka kufika. Kwa mfano, kama wewe unamwimini Mungu basi nenda kajiunganishe na altare au madhabu yake kwa gharama yoyote ile. …
Continue reading “Jiunganishe Na Kitu Hiki Kwa Gharama Yoyote Ile”