Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama tena siku hii ya leo na kama hauko vizuri pole sana rafiki kwa changamoto zilizokupata kumbuka kuwa hakuna kitu kitakachodumu. Pale unapokutana na changamoto yoyote ni wakati wako mzuri wa kujifunza kupitia changamoto badala ya …
Continue reading “Hii Ndiyo Tofauti Kati Ya Kusudi Na Lengo”