Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri huku ukiwa umeianza siku yako kwa hamasa kubwa ya kwenda kupata ushindi katika siku hii ya leo. Pole na wewe rafiki yangu ambaye umekutana na changamoto za hapa na pale lakini tambua ya kwamba kama …
Continue reading “Ifahamu Nguvu Ya Kusikiliza Sauti Yako Ya Ndani”