Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo katika maisha yako kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana katika maisha yako, hivyo itumie vizuri siku yako ya leo. Mpendwa msomaji, napenda …
Category Archives: Uncategorized
Njia Bora Ya Kukusaidia Kuwa Na Mabadiliko Unayoyataka Katika Maisha Yako
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini umeamka salama na umeinza siku yako vizuri kwa mtazamo chanya. Kila siku anza siku yako kwa vipaombele vyako na siyo vipaombele vya wengine kwa sababu unapoanza siku na kukimbilia mambo ya wengine na kusahau yako binafsi unakuwa umechagua kujidhulumu mwenyewe. Hongera sana …
Continue reading “Njia Bora Ya Kukusaidia Kuwa Na Mabadiliko Unayoyataka Katika Maisha Yako”
Aina Ya Mzazi Aliyesaulika Katika Malezi Ya Watoto
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini umeamka salama na umeinza siku yako vizuri kwa mtazamo chanya. Kila siku anza siku yako kwa vipaombele vyako na siyo vipaombele vya wengine kwa sababu unapoanza siku na kukimbilia mambo ya wengine na kusahau yako binafsi unakuwa umechagua kujidhulumu mwenyewe. Hongera sana …
Continue reading “Aina Ya Mzazi Aliyesaulika Katika Malezi Ya Watoto”
Muda Mzuri Wa Kufanya Mazungumzo Na Mtu Na Kutegemea Kupata Ushindi Na Kufikia Muafaka
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo, ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama tena siku hii ya leo. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo katika maisha yako hivyo itumie vizuri leo ili uweze kuvuna matunda mazuri. Rafiki,napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze …
Njia Rahisi Ya Kutosaulika Mahali Popote Pale
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi nyingine nzuri ya siku hii ya leo. Nakusihi sauna uitumie vizuri zawadi hii ya maisha kwako. Rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze …
Continue reading “Njia Rahisi Ya Kutosaulika Mahali Popote Pale”
Ifahamu Sifa Ambayo Kila Mtu Huwa Anaipta Katika Maisha Yake
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo, ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama tena siku hii ya leo. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo katika maisha yako hivyo itumie vizuri leo ili uweze kuvuna matunda mazuri. Rafiki,napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze …
Continue reading “Ifahamu Sifa Ambayo Kila Mtu Huwa Anaipta Katika Maisha Yake”
Faida Ya Kwenda Hatua Ya Ziada Katika Huduma Unayotoa
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni ushindi mkubwa katika maisha yako hivyo tumia ushindi huo wa uhai kuacha alama siku hii ya leo kumbuka kuwa maisha ni …
Continue reading “Faida Ya Kwenda Hatua Ya Ziada Katika Huduma Unayotoa”
UCHAMBUZI WA KITABU; Mambo Muhimu Ya Kujifunza Kwenye Kitabu Cha Strong Mothers, Strong Sons
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri na hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee kwetu tuliyokuwa tunaisubiria kwa hamu. Mpendwa rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu …
Zifahamu Faida Za Kutabasamu Katika Maisha Yako
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama tena siku hii ya leo. Hongera sana rafiki wa zawadi ya maisha kwani zawadi hii huwa hatupewi mara mbili bali ni mara moja tu hivyo tunaalikwa kutumia vizuri zawadi yetu ya uhai hapa duniani. Mpendwa …
Continue reading “Zifahamu Faida Za Kutabasamu Katika Maisha Yako”
Ishi Maisha Yako Lakini Usisahau Kufanya Jambo Hili Muhimu Katika Maisha Yako
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na unaendelea vizuri. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo rafiki yangu leo ndiyo siku ya pekee uliyokuwa unaisubiria hivyo nenda kaitumie vizuri kuhakisha unapata kile unachokitafuta katika siku hii ya leo. Mpendwa msomaji, napenda kutumia …
Continue reading “Ishi Maisha Yako Lakini Usisahau Kufanya Jambo Hili Muhimu Katika Maisha Yako”