Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya nzuri sana ya siku hii ya leo. Ushindi wa siku yako uko mikononi mwako hivyo nenda kaitendee haki siku yako. Mpendwa msomaji, nakualika …
Continue reading “Maajabu; Hii Ndiyo Sehemu Ambayo Nguvu Ya Kila Mwanadamu Inapopatikana”