Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa ushindi wa siku hii ya leo katika maisha yako. Itumie vizuri zawadi hii ya muda kwako. Rafiki, karibu tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja …
Continue reading “Kama Una Kitu Hiki Utatafutwa Popote Pale Ulipo”