Uchambuzi wa Kitabu;Mambo 31Niliyojifunza Kutoka Katika Kitabu cha Many Miles To Go

Habari ya leo mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? hongera kwa siku hii ya leo na karibu sana katika uchambuzi wa kitabu kama ilivyokawaida leo ninakwenda kukushirikisha wa kitabu cha Many Miles to Go kilichoandikwa na mwandishi mashuhuri duniani Brian Trancy na haya ni machache kati ya mengi. Uchambuzi Wa kitabu; many …

Fursa Tatu Za Kipekee Zitakazokuwezesha Kukua Kiakili Na Kutanua Wigo Wa Maarifa

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo hivyo itumie vizuri nafasi uliyopata. Rafiki, kwa namna ya pekee nikualike katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kile nilichokuandalia siku hii ya leo. Karibu …

Sehemu Sahihi Ya Kuelezea Hisia Zako Juu Ya Watu Wako Wa Karibu

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Rafiki, Karibu sana katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale mazuri niliyokuandalia. Mitandao ya kijamii iwewafanya watu kuwa wanafiki muda mwingine, watu …

Huyu Ndiye Mganga Anayetibu Magonjwa Mengi Duniani

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku nyingine mpya,bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya makubwa na kutegemea kupata matokeo makubwa. Rafiki, nakualika uiendee siku hii ya …

Haijalishi Unaishi Maisha Gani Lakini Kupata Kitu Hiki Ni Sehemu Ya Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama uko tayari kwenda kupambana katika siku hii ya leo ili uweze kupata ushindi  unaotazamia kuupata siku hii ya leo. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri ya leo, umestahilishwa kuvuta pumzi leo je unakwenda kuacha alama gani katika …

Jinsi Ya Kunufaika Na Kila Mtu Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko vizuri na umeianza siku kwa hamasa kubwa ya kwenda kufanya vizuri. Rafiki, napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja. Hivyo nakualika tusafiri pamoja hadi pale tamati ya kipindi chetu cha leo. …

Uchambuzi Wa Kitabu; Mambo Muhimu Niliyojifunza Kutoka Katika Kitabu Cha Principles(Misingi 210 Katika Maisha Na Kazi)

Habari ya leo mpendwa rafiki Na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo?Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama asubuhi ya leo. Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo na karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakwenda kukushirikisha uchambuzi wa kitabu. Karibu sana rafiki tuweze kusafiri pamoja hadi pale tamati …

Kuwa na Matumaini Lakini Usiweke Mategemeo Yako Sehemu Hii

Habari ya asubuhi mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo ni nafasi nzuri kwako kwenda kufanya kilicho bora ili kupata matokeo unayotaka. Rafiki, nikualike tena katika somo letu la leo ili tuweze kujifunza yale muhimu niliyokuandalia …

Zawadi Bora Ya Kumnunulia Mtoto Wako Msimu Wa Sikukuu

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama uko tayari kwenda kupambana katika siku hii ya leo ili uweze kupata ushindi  unaotazamia kuupata siku hii ya leo. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri ya leo, umestahilishwa kuvuta pumzi leo je unakwenda kuacha alama gani katika …

Usichoke Kufanya Kitu Hiki Kwa Ajili Ya Wengine

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo na ni vema na haki kumshukuru Mungu kwa kutustahilisha tena kuvuta pumzi siku ya leo. Rafiki, kwa namna ya pekee napenda kukualika katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza wote kwa pamoja. Kwahiyo, karibu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started