Kuwa Na Matumaini Lakini Kamwe Usiweke Matumaini Yako Sehemu Hii Hapa

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini umeamka salama na umeinza siku yako kwa mtazamo chanya. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo katika maisha yako leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata kilicho bora. Karibu …

Kama Unataka Kufanikiwa Hakikisha Usihitimu Kitu Hiki Muhimu Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo?  Ni matumaini yangu kuwa uko salama kabisa na pole kwa changamoto unazokutana nazo kila siku, tambua ya kwamba changamoto kwa binadamu aliyehai ni kitu cha kawaida hivyo pambana na hali yako bila kukata tamaa na mwisho wa siku utafika. Mpendwa rafiki, napenda kutumia …

Kama Umejizoesha Kupata Basi Jifundishe Kukosa na Kitu Hiki Hapa

Habari ya asubuhi mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo. Leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata ushindi. Rafiki, hongera sana kwa zawadi nzuri ya ushindi uliopata leo, kama umeamka salama basi hiyo …

Jinsi Ya Kujipunguzia Matatizo Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu umeamka salama na hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Nenda kaitumie vizuri siku yako na ikawe bora kama unavyopenda iwe. Rafiki, napenda kukualika katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza tena siku hii ya leo. …

Maneno Yanayoleta Ushindi Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Karibu sana katika makala yetu ya leo nakusihi sana tusafiri kimawazo hadi tamati ya kipindi chetu cha leo. Busara ya mtu iko katika ulimi, ulimi ni kiungo kidogo kinachoweza kuharibu maisha ya watu wengi. Ulimi …

Kama Unataka Kufanikiwa Acha Tabia Hii Hapa

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni ushindi mkubwa katika maisha yako hivyo tumia ushindi huo wa uhai kuacha alama siku hii ya leo kumbuka kuwa maisha ni …

Maajabu; Maisha Yenyewe Yanahitaji Mtu Mwenye Kitu Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu unaendelea vizuri, huwa kila jumamosi mara nyingi huwa nakuwa nakushirikisha uchambuzi wa kitabu ila kwa sasa nimebadili mfumo na makala za uchambuzi huwa zinapatikana katika kundi la Mimi ni mshindi kwa wakati ila sitoacha kukushirikisha uchambuzi wa kitabu kabisa lakini …

Hakuna Mtu Mwenye Visingizio Kwenye Kitu Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni ushindi mkubwa katika maisha yako hivyo tumia ushindi huo wa uhai kuacha alama siku hii ya leo kumbuka kuwa maisha ni …

Usifanye Kitu Hiki Kwa Mteja Wako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni ushindi mkubwa katika maisha yako hivyo tumia ushindi huo wa uhai kuacha alama siku hii ya leo kumbuka kuwa maisha ni …

Kabla Hujajali Watu Wengine; Mjali Kwanza Mtu Huyu

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo?  Ni matumaini yangu kuwa uko salama kabisa na  hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo katika maisha yako. hivyo nenda kaitumie vema na pole kwa changamoto unazokutana nazo kila siku, tambua ya kwamba changamoto kwa binadamu aliyehai ni kitu cha kawaida …

Design a site like this with WordPress.com
Get started