Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? natumaini unaendelea vizuri katika maisha yako ya kila siku. Pole pia rafiki kwa changamoto unazokutana nazo kwani hayo ndio maisha. Hakuna maisha yasiyokuwa na changamoto hivyo endelea kupambana mpaka ufike pale unapopataka. Mpendwa msomaji, napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakushirikisha …
Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika kitabu cha Think Like A Champion
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo na unaendelea vizuri. Hivyo basi, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakushirikisha mambo muhimu niliyojifunza katika kitabu cha Think Like A Champion( Fikiri Kama Mshindi). Uchambuzi wa Kitabu cha Think like a Champion kilichoandikwa …
Continue reading "Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika kitabu cha Think Like A Champion"
Sehemu Muhimu Ambayo Hupaswi Kujionea Huruma
Habari ya wakati huu mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Mpendwa rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo. Leo tutakwenda kujifunza wote kwa pamoja sehemu muhimu ambayo hupaswi kujionea huruma. Je unajua ni sehemu gani hiyo? Karibu tuweze kujifunza …
Continue reading "Sehemu Muhimu Ambayo Hupaswi Kujionea Huruma"
Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika Kitabu Cha New Whole Mind
Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo.? Napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakushirikisha mambo muhimu niliyojifunza katika kitabu chavNew Whole Mind Mambo Muhimu niliyojifunza katika kitabu cha New Whole Mind kilichoandikwa na mwandishi Daniel H. Pink. Yafuatayo ni mambo Muhimu niliyojifunza kupitia kitabu hiki. 1. Ubongo wa …
Continue reading "Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika Kitabu Cha New Whole Mind"
Moto Wa Hamasa Utakaokuwezesha Kupata Nafasi Ya Kazi Sehemu Yoyote Duniani
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri rafiki yangu. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo rafiki na utumie muda wako vizuri kuhakikisha unapata kile unachokitaka hapa duniani. Mpendwa msoamji, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ili …
Continue reading "Moto Wa Hamasa Utakaokuwezesha Kupata Nafasi Ya Kazi Sehemu Yoyote Duniani"
Je Maisha Yako Ni Sauti Au Kelele? Tambua Sasa Kujua Upo Upande Gani
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama na unaendelea vizuri kuwajibika katika majukumu yako ya kila siku. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo tuitumie vizuri sana siku hii ya leo kuleta mabadiliko kwenye maisha yetu. Usitumie siku yako kujibidiisha katika mambo hasi ambayo hayana …
Continue reading "Je Maisha Yako Ni Sauti Au Kelele? Tambua Sasa Kujua Upo Upande Gani"
Ufahamu Wimbo Bora Unaopendwa Na Watu Wengi Duniani
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri katika kutimiza wajibu wako. Leo ni siku nyingine ya kipekee sana katika maisha yetu hivyo basi, tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo. Mpendwa rafki, tutumie vizuri muda wetu wa leo katika …
Continue reading "Ufahamu Wimbo Bora Unaopendwa Na Watu Wengi Duniani"
Jambo Muhimu La Kuzingatia Pale Unapotoa Huduma Kwa Mteja
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umekuwa na wikiendi njema. Hongera rafiki kwa kumaliza wiki salama na kama wiki yako haikuenda salama pole. Mpendwa rafiki napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Mpendwa msomaji, leo tutakwenda kujifunza jambo la kuepuka pale unapokuwa …
Continue reading "Jambo Muhimu La Kuzingatia Pale Unapotoa Huduma Kwa Mteja"
Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika Kitabu Cha What Winners DoTo Win
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa u mzima wa afya na unaendelea vizuri kuboresha maisha yako lakini pia, kugusa maisha ya watu wengine. Mpendwa rafiki, napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakushirikisha mambo muhimu niliyojifunza katika kitabu cha What Winners Do …
Continue reading "Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika Kitabu Cha What Winners DoTo Win"
Kitu Muhimu Unachopaswa Kuwa Nacho Makini Kwenye Maisha Yako
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kutimiza wajibu wako wa kila siku. Leo ni siku nyingine ya kipekee kwetu tumepewa zawadi hii bure kabisa hivyo basi, ni muhimu kuitumia vizuri siku yetu ya leo. Mpendwa rafiki, napenda kukualika tena katika makala yetu ya …
Continue reading "Kitu Muhimu Unachopaswa Kuwa Nacho Makini Kwenye Maisha Yako"