Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri kuwajibika na majukumu yako ya kila siku. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo lakini pia unaalikwa kuitumia vema zawadi hii ya siku ya leo kuishi maisha ya maana. Rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika …
Continue reading "Usipoteze Muda Wako Kabisa Kwenye Kitu Hiki"