Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora sana na ya kipekee kwako, hivyo tunaalikwa kutumia vizuri siku yetu ya leo ili tuweze …
Hawa Ndiyo Watu Wanaokuharibia Biashara Yako
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kupambana kuhakikisha unatimiza yale muhimu uliyojiwekea. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani ni siku bora na y a kipekee kwako hivyo basi, itumie vizuri siku yako ya leo ili uweze …
Continue reading "Hawa Ndiyo Watu Wanaokuharibia Biashara Yako"
Kwanini Ni Muhimu Kila Jambo Kufanyika Sehemu Sahihi
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera rafiki kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana katika maisha yako. Hivyo tumia muda wako vizuri ili uweze kuitendea haki siku yako ya leo. …
Continue reading "Kwanini Ni Muhimu Kila Jambo Kufanyika Sehemu Sahihi"
Jinsi Dunia Inavyokufuatilia Katika Maisha Yako
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na uko buheri wa afya. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata matokeo bora. Rafiki, ili yote …
Continue reading "Jinsi Dunia Inavyokufuatilia Katika Maisha Yako"
Jiandae Kisaikolojia Kukabiliana Na Mambo Haya
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama siku hii ya leo. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya mambo makubwa na kutegemea kupata matokeo makubwa. Mpendwa rafiki, …
Continue reading "Jiandae Kisaikolojia Kukabiliana Na Mambo Haya"
Utamaduni Mpya Ulioibuka Katika Jamii Yetu
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani siku nyingine bora na ya kipekee sana kwetu. Leo ni mwisho wa juma hivyo ni vema kutumia siku hii ya leo kutafakari na kutathimini …
Continue reading "Utamaduni Mpya Ulioibuka Katika Jamii Yetu"
Uchambuzi Wa Kitabu Cha Hiring And Keeping The Best People
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku nyingine bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kutimiza yale tuliyotazamia kufanya siku hii ya leo. Tumia muda wako vizuri ili …
Continue reading "Uchambuzi Wa Kitabu Cha Hiring And Keeping The Best People"
Madhara Ya Kuishi Kinyume Na Sheria Ya Asili
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri rafiki yangu na kama hauko vizuri siku hii ya leo pole sana nakutakia nafuu ya haraka ili urudi katika hali yako ya kawaida. Mpendwa rafiki, hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani …
Continue reading "Madhara Ya Kuishi Kinyume Na Sheria Ya Asili"
Kwanini Ni Muhimu Kufahamu Saikolojia Za Watu
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya yale tuliyotazamia kuyafanya na kutegemea kupata ushindi. …
Continue reading "Kwanini Ni Muhimu Kufahamu Saikolojia Za Watu"
Huyu Ndiye Mtoto Anayepewa Nafasi Kubwa Ya Malezi Kuliko Watoto Wote Katika Familia
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana katika maisha yako kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile unachofanya ili kupata matokeo makubwa. …