Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama na umeianza siku yako kwa hamasa kubwa ya kwenda kufanya kazi na kutegemea kupata ushindi. Hongera sana rafiki kwa zawadi hii nzuri sana ya siku hii ya leo hivyo basi tunaalikwa kuthubutu na kutumia muda wetu vizuri …
Continue reading "Madhara makubwa Ya Kuishi Kulingana Na Saikolojia Ya Watu"