Ishi Maisha Yako Lakini Usisahau Kufanya Jambo Hili Muhimu Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na unaendelea vizuri. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo rafiki yangu leo ndiyo siku ya pekee uliyokuwa unaisubiria hivyo nenda kaitumie vizuri kuhakisha unapata kile unachokitafuta katika siku hii ya leo. Mpendwa msomaji, napenda kutumia …

Faida Kubwa Ya Kuongea Lugha Yako Hapa Duniani

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni ushindi mkubwa katika maisha yako hivyo tumia ushindi huo wa uhai kuacha alama siku hii ya leo kumbuka kuwa maisha ni …

Ifahamu Nguvu Ya Kusikiliza Sauti Yako Ya Ndani

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri huku ukiwa umeianza siku yako kwa hamasa kubwa ya kwenda kupata ushindi katika siku hii ya leo. Pole na wewe rafiki yangu ambaye umekutana na changamoto za hapa na pale lakini tambua ya kwamba kama …

KITABU; Ongea Lugha Yako( Sauti Yako Ya Ndani Ndiyo Mafanikio Yako,Nguvu Ya Kujua Kusudi Lako Hapa Duniani)

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri hivyo napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kushirikishana yale muhimu. Rafiki yangu, katika maajabu ya ulimwengu ambapo Mungu ameumba dunia hii ni kwa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana basi moja ya sehemu ya maajabu hayo …

Mtu Pekee Unayepaswa Kuambatana Naye Katika Safari yako Ya Kutafuta Mafanikio

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri huku ukiwa umeianza wiki yako kwa hamasa kubwa ya kwenda kupata ushindi katika siku hii ya leo. Pole na wewe rafiki yangu ambaye umekutana na changamoto za hapa na pale lakini tambua ya kwamba kama …

Faida Za Kuwa Na Mfumo Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata matokeo bora. Tumia muda wako vizuri kuhakikisha …

UCHAMBUZI WA KITABU; Mambo Ishirini (20) Niliyojifunza Katika Kitabu Cha The Power of Now

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na umeamka salama tena siku hii ya leo kwa hamasa kubwa ya kwenda kutimiza majukumu yako uliyotazamia kuyafanya leo. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo unaalikwa kutumia vizuri muda wako ili uweze kutimiza yale uliyopanga …

Hasara Kubwa Ya Kuwa Mtu Wa Hasira Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako ya kila siku. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo, leo ni siku bora na ya kipekee kwako kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata matokeo bora. Hivyo …

Hitaji Moja Kubwa La Kila Mwanadamu

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Leo ni siku nyingine bora na ya kipekee sana katika maisha yetu hivyo basi, ni nafasi ya kipekee kwetu kutumia vizuri siku hii ya leo ili tuweze kupata matokeo mazuri. Iendee siku hii ya leo …

Mbinu Mbadala Ya Kukabiliana Na Changamoto Ya Kupoteza Au Kupotezewa Muda Wako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo basi, unaalikwa kuitumia vizuri zawadi yako ya siku hii ya leo ili uweze kukamilisha ratiba yako ya leo. Mpendwa msomaji, nipende kutumia nafasi hii …

Design a site like this with WordPress.com
Get started