Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni imani yangu kuwa uko vizuri na kama hauko vizuri pole nakuombea nafuu ya haraka ili urudi katika shughuli zako. Rafiki,ย jana tarehe 7/11/2017 mtandao wa YOPOCODE TANZANIA( The youth potentials community Development) kupitia mkurugenzi wake Alfred Mwahalendeย mtendaji na bodi ya wakurugenzi …
Continue reading "Shukrani Za Kipekee Kwa Shirika La YOPOCODE Kwa Kunipatia Cheti Cha Heshima"