Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaamliwa kila kitu katika maisha yetu. Tulikuwa tunafanyiwa maamuzi kadiri ya wazazi au walezi wetu. Na tulikuwa hatuna ubishi wa kukataa kwa sababu tulikuwa ni wadogo hatuna budi kukubali kwa wakati huo. Wazazi ndiyo chanzo cha maisha yetu hapa duniani. Hakuna mtu hata mmoja aliwahi kuandika barua ya kuomba kuzaliwa je wewe …
Continue reading "Kitu Ambacho Hakitokusaidia Kwenye Maisha Yako"