Siyo kila mtu ameitwa katika maisha ya ndoa hivyo kama unajiona hutoweza kufiti ni bora ubaki katika maisha ya useja nao ni wito kama wito mwingine lakini sharti uwe mwaminifu siyo unajifanya huishi katika maisha ya ndoa lakini una bingwa wa maisha ya uzinifu. Ukiamua kuwa mtu fulani ishi uadilifu wako. Usiingie katika maisha ya …
Continue reading "Kabla Ya Kuingia Katika Maisha Ya Ndoa Jiandae Kisaikolojia Kukutana Na Kitu Hiki"