Mpendwa rafiki, Kama unajua unakokwenda na umeandaa mpango kazi wako yaani ramani yako unayokabisa na unajua unakwenda wapi kwanini sasa mtu anakuja kukumbia huwezi na kwanini unampa nafasi hiyo? Kwani wakati ulipokuwa unapanga ulikuwa naye sasa kwanini katika utekelezaji uje kumshirikisha na akukatishe tamaa? Kwa mfano,wewe umepanda gari lako unajua kabisa unakokwenda halafu mtu anakuja …
Continue reading "Wasikilize Watu Wote Lakini Siyo Mtu Huyu Hatari Kwako"