Kitu Kinachofanya Maisha Kuwa Magumu

Mpendwa rafiki, Ukijaribu kuchunguza kwa makini katika jamii yako, familia yako kwa ujumla kuna kitu ambacho kinafanya maisha kuwa magumu sana kuliko kawaida. Watu wanakosa usingizi kwa sababu  ya vitu hivyo, ugomvi na hata kutoelewana muda mwingine kwa sababu ya vitu hivyo. Mtoto mdogo hakuna kitu anachojali yeye zaidi ya mahitaji yake ya msingi yale …

Ifahamu Biashara Inayopendwa Kufanywa Na Watu Wengi

Mpendwa rafiki, Kuna mambo ambayo kila mtu anaweza kufanya katika maisha yake. Kuna watu wanasema mambo ni magumu lakini hata mambo yawe ni magumu kiasi gani watu kila kukicha hawaachi kufanya biashara hiyo, je unajua ni biashara gani? ni biashara ambayo imefanywa na wengi na inaendelea kufanywa na wengi na wanaoamua kuifanya kwa vitendo kweli …

Badilisha Mitazamo Hii Kwenye Mambo Ya Fedha

Tunajua kuwa fedha ndiyo inaendesha maisha yetu ya kila siku. Tunalipia bili mbalimbali kila siku hivyo kwa lugha rahisi tunaweza kusema fedha ni muhimu katika maisha yetu na wala hatuwezi kuikwepa kuitumia hata siku moja. Lakini watu wengi wanaotafuta pesa wamekuwa na mitazamo hasi juu ya fedha na hapa ndiyo maana wengi wanaishia kupata kile …

Haya Ndiyo Matokeo Ya Wale Walioshindwa Kujenga Ndoto Zao

Mpendwa rafiki, Wengi wanaishi katika ndoto ambazo siyo zao. Wengine wamekuwa katika fani ambazo wamesomea kwa sababu ya shindikizo labda kutoka kwa mzazi au mwingine alikwenda kusomea kozi fulani chuo kikuu kwa sababu ya kupata mkopo ili aweze kusoma. Wengi wako uchi kwa sababu wanaishi tofauti na kile walichokipenda. Huenda hata wengine wameingia katika maisha …

Kosa Kubwa Unalofanya Katika Maisha Yako

Kuishi ni dhamana na hatuko duniani kwa ajili ya kula tu bali kwa makusudi mbalimbali. Wengine wanaishi ili wale na wengine wanakula ili waishi huenda mimi au wewe miongoni mwetu tuko katika makundi haya mawili kuna wale ambao wanakula ili waishi lakini kuna wale ambao wanaishi ili wale tu. Kama bado mpaka leo hujagundua kusudi …

Wasikilize Watu Wote Lakini Siyo Mtu Huyu Hatari Kwako

Mpendwa rafiki, Kama unajua unakokwenda na umeandaa mpango kazi wako yaani ramani yako unayokabisa na unajua unakwenda wapi kwanini sasa mtu anakuja kukumbia huwezi na kwanini unampa nafasi hiyo? Kwani wakati ulipokuwa unapanga ulikuwa naye sasa kwanini katika utekelezaji uje kumshirikisha na akukatishe tamaa? Kwa mfano,wewe umepanda gari lako unajua kabisa unakokwenda halafu mtu anakuja …

Kamwe Usihukumu Siku Yako Kwa Sababu Ya Kitu Hiki

Mpendwa rafiki, Binadamu tumekuwa ni watu wa kupenda kuvuna kuliko kupanda wengi tunapenda kuona kitu ambacho tayari lakini hatupendi kuingia katika mchakato. Wengine hujikuta wanafanya mambo mengi ndani ya siku lakini wakija kujiona hawana walichovuna ndani ya siku je hii inakuwaje? Watu wanapenda kupanda na kuvuna leo yaani mtu anataka anze leo kufanya mazoezi na …

Kabla Ya Kukimbilia Mafanikio Yoyote Tengeneza Kwanza Kitu Hiki

Kila mtu anapenda kufanikiwa ndiyo maana kila siku unajituma ili kufikia kile kiwango ambacho umejiwekea kufika. Mara nyingi huwa tunakimbilia kutafuta mafanikio wakati kuna kitu muhimu ambacho tunakiruka ambacho watu wengi hawakioni. Tunakwepa sana kitu hiko mwisho wa siku tunaishia kudunda dunda tu kama kitenesi  kwa sababu hapo awali tulishindwa kujiandaa kwa hilo. Nyumba tunazoishi …

Vikao Adimu Kufanyika Katika Zama Hizi

Neno vikao siyo neno geni kulisikia katika masikio yako. Tunakaa vikao kila siku karibu maeneo mengi ya maisha yetu lakini kuna maeneo ambayo ni adimu sana kukaa vikao. Maofisini vikao ni vingi hata hatuhitaji ushahidi juu ya hilo. Kuna vile vikao ambayo tunapaswa kukaa kama cha wewe kukaa na wewe mwenyewe na kujitafakari lakini hii …

Kama Unataka Kubarikiwa Fanya Kitu Hiki Kwanza

Mpendwa rafiki, Tumeletwa duniani huku kila mmoja akiwa na kusudi lake, na kamwe hatuwezi kufanana makusudi kwa sababu wewe  una upekee wako na mimi nina upekee wangu ambao huwezi kuupata kwa mtu yeyote duniani vivyo hivyo hata kwako rafiki yangu. Kwanini wengine wanafanikiwa na wengine hawafanikiwi? Kwa sababu wengi wanataka kufanikiwa lakini hawataki kutumika kama …

Design a site like this with WordPress.com
Get started