Mpendwa rafiki, Mfumo wa biashara unafanya kazi kama vile mwili wa binadamu unavyofanya kazi. Mwili wa binadamu ukikosa damu basi binadamu naye ataweza kufa. Vivyo hivyo kwa biashara kama imekosa fedha za kujiendesha lazima itakufa pia kama ilivyo katika mwili wa binadamu. Kuna kitu ambacho wafanyabiashara wengi wanafanya wakijua kuwa wanawafurahisha wateja kumbe ndiyo wanawafukuza …
Kuwa Na Uvumilivu Wa Vitu Vyote Lakini Cha Kwanza Kiwe Hiki
Mpendwa rafiki, Kila mtu katika safari yake ya mafanikio kuna magumu anayopitia na usione watu wako kimya ukazani hawana matatizo bali wanayo ila hawatangazi kwa kila mtu. Unapata magumu kadiri ya mambo makubwa unayojaribu kufanya katika maisha yako. Kama unafanya mambo ya kawaida sana utaendelea kupata matokeo yale yale ya kawaida. Tunafanya mambo kwa kawaida …
Continue reading "Kuwa Na Uvumilivu Wa Vitu Vyote Lakini Cha Kwanza Kiwe Hiki"
Je Umechoshwa Na Nini Kati Ya Hivi Hapa
Mpendwa rafiki yangu, Ni kawaida yetu sisi binadamu na hata kitu chochote kuchoka pale kinapotumika kufanya kazi fulani. Binadamu sisi asili yetu ni kufanya kazi na siyo kuongea tu. Kila kiumbe kinafanya kazi ili kiweze kujipatia chakula na mahitaji mengine mengi kadiri ya mtu. Kama tunavyojua kazi ndiyo msingi wa maendeleo yako kam hutaki kazi …
Usikubali Kitu Hiki Kikuharibie Utulivu Wako Wa Akili
Mpendwa rafiki, Unaweza ukaamka ukainza siku yako vizuri kabisa lakini kikaja kitu kidogo kikakuharibia asubuhi yako na ukaiona siku mbaya. Lakini kama mwanafalsafa hutakiwi kuyumbishwa na kitu chochote kile hata kama unamepata changamoto gani bali unatakiwa ubaki katika hali yako bila kutaharuki. Hakuna anayeifanya siku yako iwe mbaya au nzuri bali wewe mwenyewe ndiyo unaamua …
Continue reading "Usikubali Kitu Hiki Kikuharibie Utulivu Wako Wa Akili"
Mambo Muhimu Ya Kufanya Kama Unataka Kuwa Tajiri
Mpendwa rafiki, Hakuna kitu chochote kitakachokuja katika maisha yako bila kazi. Hata ulale kama chakula hakiwezi kukufuata hapo ulipo lazima utainuka na kwenda kukifuata chakula kiwepo. Kila kitu kinahitaji kazi, ili upate fedha unaitaji kuweka kazi na ili uache alama unahitaji kuweka kazi pia. Kwa lugha rahisi, maisha ni kazi hilo halina ubishi kwa sababu …
Continue reading "Mambo Muhimu Ya Kufanya Kama Unataka Kuwa Tajiri"
Jinsi Ya Kusajili Na Kujimilikisha Mawazo Yako
Mpendwa rafiki, Huenda hata hapo ulipo umekuwa na mawazo bora mengi lakini hujayafanyia kazi mpaka sasa. Pengine mawazo uliyokuwa nayo umeyaandika mahali au wengine wamebaki nayo kichwani yote sawa tu kila mmoja anaamua kuhifadhi kwa namna aliyochagua yeye ila fasihi andishi ni nzuri ulilinganisha wale wanaohifadhi kichwani. Nilishawahi kuandika njia nzuri ya kuokoa mawazo ni …
Continue reading "Jinsi Ya Kusajili Na Kujimilikisha Mawazo Yako"
Kosa Moja Kubwa Unalofanya Katika Talanta Yako
Mpendwa rafiki, Kwa lugha rahisi tu, aliyenacho ataongezewa zaidi, na yule mwenye kile kidogo alichonacho atanyang’anywa. Hii tunaiona hata katika maisha yetu ya kawaida aliyekuwa tajiri anazidi kuwa tajiri zaidi na aliyekuwa masikini anazidi kuwa masikini zaidi. Kila binadamu kuna talanta amepewa hata kuna ule mfano wa tajiri mmoja aliyewapa watumwa wake kila mmoja talanta …
Continue reading "Kosa Moja Kubwa Unalofanya Katika Talanta Yako"
Sababu Kuu Moja Kwanini Umepewa Hivyo Ulivyonavyo Sasa
Wewe ni sababu ya mimi kufanikiwa na mimi ni sababu yaw ewe kufanikiwa. Kila mmoja wetu anamtegemea mwenzake ili aweze kufanikiwa lakini kitu ambacho kinatukwamisha ni ubinafsi wetu tulionao. Ubinafsi huu unaanzia kwenye akili na muda mwingine huo ubinafsi unakuwa unaambatana na wivu ndani kwamba nikimsaidia fulani atanipita au atafanikiwa zaidi ya mimi, iweje yeye …
Continue reading "Sababu Kuu Moja Kwanini Umepewa Hivyo Ulivyonavyo Sasa"
Changamoto Inayowakabili Wateja Wengi Siku Hizi
Mpendwa Rafiki, Kuna kitu ambacho watu siku hizi wanakikosa katika maisha yao na ni kitu kidogo lakini kinachangia maisha ya mtu kuwa bora au hovyo. Kila mtu ni mteja wa huduma fulani hivyo katika huduma tunazopatiwa sisi kama wateja au wanunuzi kuna kitu tunakikosa kutoka kwa wale wanaotupatia huduma hata kama kuna watu wengine wanatuhudumia …
Continue reading "Changamoto Inayowakabili Wateja Wengi Siku Hizi"
Kama Unataka Kuonekana Mtu Uliyeelimika Kubali Kufanya Kitu Hiki Kwanza
Asili ya binadamu ni kupinga, mtu akifanya kosa kitu cha kwanza huwa ni kupinga na kuonesha ni jinsi gani yeye hausiki na mwingine ndiyo anahusika. Tumekuwa ni watu wa kujitetea na kuonesha kuwa sisi hatuhusiki hata pale inapotokea hasara. Katika uongozi watu wanapenda mara nyingi kwenda vile wanavyotaka wao sasa ikitokea mtu unawaongoza tofauti na …
Continue reading "Kama Unataka Kuonekana Mtu Uliyeelimika Kubali Kufanya Kitu Hiki Kwanza"