Mpendwa rafiki, Hivi tulivyo leo na jinsi tunavyoishi inatokana na maamuzi tuliyoyafanya hapo nyuma. Maisha unayoishi leo ni maamuzi uliyochagua kufanya wewe mwenyewe. Maamuzi ndiyo maisha kweli hata unayemwona leo kafanikiwa au hajafanikiwa kitu kilichomfanya awe hivyo alivyo leo ni maamuzi aliyochukua happ awali. Hakuna sehemu ambayo tunapaswa kuwa makini katika maisha yetu kama sehemu …
Kabla Hujasema Umeshindwa Jiulize Swali Hili
Mpendwa rafiki, Kujaribu siyo kushindwa. Tunatakiwa kujaribu mara nyingi zaidi kadiri tuwezavyo. Unapokuwa unafanya majaribio mengi ndiyo unapata na kuja na suluhisho bora, mtu aliyefanya mara moja na aliyefanya mara kumi hawawezi kuwa sawa hata siku moja. Huwa tunajaribu kufanya vingi lakini pale tunapopata matokeo tofauti tu tunajiambia kuwa tumeshindwa na kujiona kama vile sisi …
Continue reading "Kabla Hujasema Umeshindwa Jiulize Swali Hili"
Njia Ya Kupata Fedha Nyingi Hapa Duniani
Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anapenda pesa na kila mtu anajua kuwa fedha ni muhimu na keshi ndiyo mfalme. Keshi inakubalika kila sehemu ya maisha yetu. Fedha ni nzuri kwa sababu ni jawabu la mambo yote hata mhubiri kasema katika kitabu chake. Kama huna pesa jibu la haraka huna thamani unayoitoa katika jamii yako. Kama …
Swali Muhimu sana La Kujiuliza Kabla Hujaanza Kuwaogopa Watu
Mpendwa rafiki, Kuna watu hawajawahi kuishi maisha yao tokea Mungu aumbe hii dunia. Wamekuwa wakiishi maisha ya shida na ya utumwa kwa ajili ya kuwafurahisha watu wasiojali. Watu wanaogopa watu wanajitahidi kuishi kadiri ya watu wanavyotaka lakini siyo kadiri yao wao wanavyotaka na utakuta muda mwingine wanalalamika kabisa juu ya hayo maisha lakini hawachukui hatua …
Continue reading "Swali Muhimu sana La Kujiuliza Kabla Hujaanza Kuwaogopa Watu"
Jinsi Ya Kuinunua Dunia
Mpendwa rafiki, Hongera sana kwa mwezi julai, natumaini umeshaona mpaka sasa unakwenda wapi na unatoka wapi hivyo ni siku nzuri sana leo kukaa chini na kutafakari kama unabadilisha gia au unaendelea na gia yako kama unaona inakupa kile unachotaka. Kazi kubwa ya kila mmoja wetu hapa duniani ni kuijaza dunia. Kila mmoja wetu ana thamani …
Njia Mbili (2) Za Kuongeza Mauzo katika Biashara Unayofanya
Mpendwa rafiki, Najua kuna kitu unauza kwani maisha yetu ili tupate kitu au thamani katoka kwa mwingine ni kuuza. Kuuza ndiyo habari ya kila biashara, hata kama umeajiriwa au umejiajiri kuna kitu unauza kama siyo bidhaa basi unauza ujuzi wako na watu wanakulipa kadiri ya thamani unayoitoa sokoni. Katika biashara mteja ndiyo mfalme kwani bila …
Continue reading "Njia Mbili (2) Za Kuongeza Mauzo katika Biashara Unayofanya"
Hakuna Juhudi Ya Aina Hii Iliyowahi Kupotea Bure
Mpendwa rafiki, Natumaini kila mtu kuna juhudi fulani anaziweka katika maisha yake ili aweze kupiga hatua kubwa katika maisha yake. Maisha ambayo mtu haweki juhudi yoyote ya kuwa bora yanakuwa maisha ya hovyo na ya kawaida sana. Na hakuna kitu kibaya kama watu kukuchukulia wewe ni mtu wa kawaida, kawaida maana yake huna jipya wewe …
Continue reading "Hakuna Juhudi Ya Aina Hii Iliyowahi Kupotea Bure"
Hiki Hapa Ndiyo Kitu Kinachogharimu Watu Wengi
Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na mengi sana, yapo ambayo yanakuja yakiwa ndani ya uwezo wetu na yale ambayo yako nje ya uwezo wetu. Haya yote yanatokea katika maisha yetu ni ya kwetu sote. Wako watu ambao wanapoteza hata uhai wao au kukosana na rafiki, ndugu,kwa sababu tu ya kuonyana na kuambiana ukweli. …
Continue reading "Hiki Hapa Ndiyo Kitu Kinachogharimu Watu Wengi"
Mambo Manne(04) Muhimu Ya Kumfundisha Mtoto Wako
Mpendwa rafiki, Tunaishi katika zama kiasi kwamba mtoto mdogo ana uwezo wa kuona kila kitu anachotaka kuona kama akiishi katika mazingira wezeshi. Wazazi wanajitahidi kweli kuzaa watoto lakini katika malezi huwa wanajisahau sana na ubize huu wa kila siku unawafanya watu washindwe hata kukaa na watoto wao kujua hata maendeleo yao. Ni kweli dunia imetukamata …
Continue reading "Mambo Manne(04) Muhimu Ya Kumfundisha Mtoto Wako"
Kuanzia Leo Acha Kuimba Wimbo Huu
Mpendwa rafiki yangu, Unafikiri ni wimbo gani huo rafiki nao kuambia acha kuimba? Natumaini kuna wimbo unaopenda kuimba na kama siyo kuimba basi hata kusikiliza kwa sababu dunia yetu ni dunia ya kifasihi hivyo kwa namna yoyote ile hatuwezi kukwepa fasihi kwani fasihi ndiyo maisha yetu ya kila siku yanayoelezea uhalisia wake. Ziko nyimbo nyingi …