Siyo kila siku nyota njema itaonekana asubuhi tu. Mambo yanabadilika sana kiufupi siyo rahisi kutabiri kila kitu na kikatokea sawa. Hakuna mtabiri wa uhakika katika haya maisha kwani yale tunayotabiri ni kama kubashiri tu lakini kuamua matokeo gani ya utabiri ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako. Wakati mwingine unaanza siku yako vizuri, huku …
Bila Nidhamu Hizi Huwezi Kuthubutu
Kinachotufanya tusipige hatua kubwa ni nidhamu tu.Wanaofanikiwa ni wale ambao wana nidhamu kwenye kile wanachofanya. Unatakiwa kuwa na nidhamu ya kazi, fanya kazi kwa nidhamu ya hali ya juu na zalisha ubora.Toa thamani kubwa na jua kuwa kazi ndiyo rafiki wa kweli ambaye hatoweza kukuangusha pale unapokuwa na shida.Watu ni rahisi kukuangusha lakini kazi haiwezi …
Kama Usipowaambia Watu Unauza Nini, Hawawezi Kujua Hili
Wanasema biashara ni matangazo. Ukitaka kuuza kitu lazima ukitengenezee mazingira ya kutaka kukiuza kwa mfano, una bidhaa ya mchele na unataka watu wanunue inabidi utoe mchele wa sampo uweke mahali panapoonekana na uwaambie watu kuwa unauza mchele, lakini ukiwaambia watu unauza mchele halafu umeuweka ndani hakuna anayeuona hakuna atakayejua. Kama usipowaambia watu unauza nini watu …
Continue reading "Kama Usipowaambia Watu Unauza Nini, Hawawezi Kujua Hili"
Fanya Kazi Yako
Uwepo wa mitandao ya kijamii umewafanya watu kuwa huru kufanya kazi ambazo hata siyo zao. Watu wamekuwa ni wataalamu wa kila kitu, wanatoa maoni kwenye kila kitu na hata kama siyo kazi yake naye atataka kuchangia ili tu asikike asionekane kimya. Tumia uhuru wa mtandao wa kijamii kufanya yale muhimu ambayo yanaweza kukusaidia wewe na …
Jinsi Ya Kujitafuta Wewe Mwenyewe
Huwa tunakua bize kuwatafuta wengine, tunataka kujua mambo ya wengine yakoje lakini tunasahau sana kutafuta kujua mambo yetu binafsi. Baba wa falsafa mwanafalsafa Socrates aliwahi kunukuliwa akisema, ukitaka kujitafuta wewe mwenyewe, jifikirie kuhusu wewe mwenyewe. Hatuwezi kujua matatizo yetu ya ndani kama tusipojitafuta sisi wenyewe. Tutajua mengi kuhusu sisi wenyewe pale tutakapojitafuta kwa kujifikiria sisi …
Kama ulianguka Jana Fanya Kitu Hiki Leo
Ni kawaida yetu sisi binadamu kuanguka katika mengi, lakini kuanguka siyo sababu ya sisi kuendelea kuwa chini. Kama vile ilivyo dunia, inatupa usiku na mchana nasi tunatakiwa kuishi hivyo. Pale unapokuwa umeanguka unapaswa kunyanyuka juu. Usiendelee kukomaa na hapo chini bali nyanyuka juu. Kama jana ulianguka , unachotakiwa kufanya ni leo kuamka. Kila mtu anaanguka, …
Kitu Pekee Unachoweza Kupata Kwa Haraka
Kama tunavyojua kazi ya haraka inakuwaje na matokeo yake yakoje. Jaribu tu kuchunguza vitu vyote ambavyo vinafanywa haraka haraka na utapata jibu. Shahidi wa kwanza kwenye hili ni wewe mwenyewe, ukiangalia vitu ulivyofanya kwa haraka na vile ulivyofanya kwa umakini kwenda taratibu unaona tofauti ya matokeo. Kitu pekee unachoweza kupata kwa urahisi ni usumbufu. Aliwahi …
Usikubali Kile Usichojua Kufanya Kiingilie Hiki
Kama unajua vizuri utafanya vizuri hii ni kanuni ya asili na kama hujui utafanya vibaya. Kanuni sahihi lazima italeta jibu sahihi. Hata katika somo la hesabu ,ukitumia kanuni sahihi lazima itakuletea majibu sahihi. Ukiwa na maarifa sahihi kwenye kile unachofanya, ukayatumia maarifa hayo lazima yatakuletea matokeo mazuri. Aliyekuwa kocha wa mpira wa kikapu John Wooden …
Continue reading "Usikubali Kile Usichojua Kufanya Kiingilie Hiki"
Vunja Laana Ulizobeba Kwenye Kipato
Linapokuja suala la fedha na utajiri watu wengi wamevurugwa na laana. Wanaamini kuwa hawezi kwenda hatua ya ziada, kama wazazi wao walifikia kiwango fulani basi nao hawezi kufikia. Watu wanaona ni vibaya kama wao watakua na kipato kikubwa kuliko wazazi wao. Unatakiwa kuvunja laana hii na kujiambia kuwa nitakuwa na kipato kikubwa kuliko wazazi wangu, …
Bidhaa Pekee Ambayo Hupaswi Kuiuza Kwenye Biashara Yako
Biashara ni watu, watu ndiyo wanaleta mzunguko mkubwa wa biashara. Watu wakiwa wengi watapelekea mauzo kuwa makubwa endapo watanunua. Katika kipindi hiki wako watu wengi sana wanapoteza wateja wateja wao. Wengine wameshafunga biashara wengine wanaendelea kupambana na hali ilyoko. Ni bora kuendelea kupambana hata kama huoni wateja kuliko kufunga biashara maana unapofunga ndiyo unawapoteza kabisa …
Continue reading "Bidhaa Pekee Ambayo Hupaswi Kuiuza Kwenye Biashara Yako"