Mafanikio yoyote yale tunayotaka kwenye maisha yetu tayari yako kwa wengine. Chochote tunachofanya tunawategemea wengine ili nasi tuweze kufanikiwa. Kumbe basi, kama tunataka kufanikiwa kwenye kile unachofanya anza kuwasaidia wengine kupata kile wanachotaka. Mwanasaikolijia Sigmund Freud aliwahi kunukukiwa akisema kile ambacho watu wanakifanya kinasukumwa na tamaa mbili, ngono na ukuu. Mwanafalsafa John Dewey anasema hitaji …
Continue reading "Njia Pekee Ya Kuwafanya Watu Wakupe Kile Unachotaka"