Karibu kila familia ina mtoto na kama haina basi inatazamia kuwa na mtoto. Kwenye malezi ya watoto wazazi au walezi huwa wanakutana na changamoto mbalimbali. Ubaya ni pale umepatwa na tatizo halafu huna fedha ya kutatua tatizo linalokukabili. Changamoto nyingine kwenye malezi siyo changamoto bali ni ukosefu wa fedha. Kama tatizo la mtoto linaweza kutatuliwa …
Continue reading "Hii Ndiyo Rasilimali Muhimu Kwenye Malezi Ya Watoto"