🌱 NJIA TISA ZA KUWASHINDA WAKATISHAJI TAMAA (SEHEMU YA 5–6)

Rafiki, tunaendelea na sehemu ya 5 na ya 6 , karibu sana, usome na uchukue hatua. Wenye Chuki Wamezika Ndoto Zao Kubwa Watu wengi wanaokuchukia hawana tatizo na wewe β€” tatizo lao ni kwamba umeweza kufanya kile walichotamani kufanya lakini walishindwa.Wamezika ndoto zao kubwa chini ya udongo wa visingizio, woga, na tamaa ya kukubalika. Wakati …

NJIA TISA ZA KUWASHINDA WAKATISHAJI TAMAA (SEHEMU YA 1–2)

Ukichagua kufanya makubwa kwenye maisha, lazima utakutana na upinzani.Ukichagua kujifunza zaidi, kujaribu vitu vipya na kuishi nje ya mipaka ya kawaida, utazalisha matokeo ya tofauti β€” matokeo ambayo wengi hawajazoea kuyaona. Na kila unapozalisha kitu kisicho cha kawaida, utavuruga mfumo wa wale wanaopenda mazoea.Hapo ndipo kundi la wakatishaji tamaa linapoibuka β€” watu ambao kazi yao …

KILA KITU KWENYE MAISHA NI MAUZO

Kila kitu kwenye maisha ni mauzo.Kila siku unauza kitu β€” hata kama huna biashara.Unauza mawazo yako, tabia yako, maadili yako, mtazamo wako, na hata namna unavyowafanya watu wajisikie ukiwa nao. Swali muhimu ni hili: unajiuzaje?Namna unavyoishi, unavyofanya kazi zako, unavyoongea na watu β€” vyote hivyo vinauza picha fulani kuhusu wewe.Kila mtu anayekutana na wewe, ananunua …

Kila Kitu Kinafanya Kazi, Kama Ukifanya Hivi

Watu wengi huuliza, β€œKwa nini mambo yangu hayaendi?”Huwa wanajaribu mbinu mpya, wanasoma vitabu vipya, wanahama kutoka biashara hii kwenda nyingine, lakini bado matokeo hayabadilika.Siri ni moja tu β€” kila kitu kinafanya kazi, kama ukikifanyia kazi. Hakuna mfumo unaoshindwa. Hakuna ndoto isiyowezekana. Kinachoshindwa mara nyingi siyo β€œkitu,” bali mtu anayekifanya. Ukianza biashara, kazi, au mradi wowote …

NJIA TISA ZA KUWASHINDA WAKATISHAJI TAMAA-1

Kwa kuchagua kufanya makubwa ili ufanikiwe, kwa kuchagua kuendelea kujifunza na kujaribu vitu vipya, utazalisha matokeo ya tofauti β€” matokeo ambayo hayajazoeleka. Hilo litaleta kwako kundi kubwa la watu ambao watakukosoa, watakudharau, na watakukatisha tamaa. Kundi hili litaonekana kuwa na nguvu na lenye hoja sahihi kwa namna watakavyokusema vibaya. Lakini ukweli ni kwamba, watu hawa …

FANYA KILICHO SAHIHI, SIYO KINACHOKUPA UMAARUFU

Katika safari ya mafanikio, kuna nyakati utakutana na njia panda β€” upande mmoja ni kufanya kilicho sahihi, na upande mwingine ni kufanya kinachokupa umaarufu.Na mara nyingi, njia hizi mbili huwa hazilingani. Ukichagua kufanya kilicho sahihi, unaweza kupoteza umaarufu wako.Ukichagua kufanya kinachokupa umaarufu, unaweza kupoteza misingi yako, maadili yako, na hata utu wako. Ni hapa ndipo …

SEHEMU YA SABA: KUSAHAULIKA β€” HATUA YA MWISHO YA ANGUKO

Hatua ya saba ya anguko ni kusahaulika β€” na hii ndiyo hatua ya mwisho na ya hatari zaidi.Ni pale ambapo mtu aliyewahi kung’aa, aliyewahi kuheshimiwa, aliyewahi kuzungumziwa kila kona, anageuka kuwa hadithi tu. Watu huanza kusema, β€œAlikuwepo mtu fulani, alikuwa mzuri sana, lakini siku hizi hatumsikii tena.” KUSAHAULIKA huku hakutokei ghafla.Kunaanza kidogo kidogo, bila wewe …

SEHEMU YA SITA: USIACHE KUJINOA

Hatua ya sita ya anguko ni kuacha kujinoa.Kabla ya kufanikiwa, ulikuwa na njaa ya kujifunza. Ulikuwa unasoma vitabu, unasikiliza mafundisho, unatafuta walioshinda ili ujifunze kutoka kwao. Ulifanya mazoezi, ulijituma usiku na mchana, na haukukubali kuridhika. Hiyo ndiyo hali iliyokupandisha juu, hadi ukafika kwenye kilele cha mafanikio. Lakini mara unapofika hapo, kitu kinabadilika. Unaanza kujisemea, β€œSasa …

SEHEMU YA TANO: USIPOTEZE HAMASA YA USHINDI

Hatua ya tano ya anguko ni kupoteza hamasa ya ushindi. Mwanzo, ulikuwa na njaa ya mafanikio β€” hamasa ya kushinda, ari ya kuwa bora, na kiu ya kuthibitisha kwamba unaweza. Hiyo nguvu ndiyo ilikufanya uamke mapema, ufanye kazi kwa bidii, na kuvumilia magumu bila kulalamika. Lakini mara unapofika kwenye kilele, hali inabadilika. Hamasa ile ile …

Epuka Anguko Baada ya Mafanikio – Sehemu ya Nne: Epuka Kuishi kwa Mazoea

Moja ya hatua hatari zaidi baada ya kufanikiwa ni kuanza kufanya mambo kwa mazoea.Kabla ya kufanikiwa, ulikuwa makini, mwenye viwango vya juu, na ulijituma kweli kufikia ndoto zako. Ulitumia muda mwingi kupanga, kufanya maamuzi kwa uangalifu, na kuhakikisha kila kitu kinafanyika kwa ubora wa hali ya juu. Lakini baada ya kufanikiwa, taratibu unajikuta unateleza.Unaanza kuridhika.Unafanya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started