Hiki Ndiyo Chanzo Cha Matatizo Mengi

Mpendwa rafiki yangu, Ukichunguza karibu kila eneo la maisha yetu utagundua kuna kitu ambacho huwa kinatawala na kikikosekana maisha yetu yanakuwa ya hovyo sana. Ukiona mtu kachelewa kazini basi hapo ujue kuna kitu kimekosekana, ukiona mtu ameshindwa kujisimamia ujue hapo kuna kitu kimekosekana. Hicho kitu kimekuwa kinawaumiza sana watu wengi hususani katika karne hii ya …

Haya Ndiyo Mategemeo Makubwa Ambayo Wazazi Wanayaweka Kwa Watoto Wao

Mpendwa rafiki yangu, Wazazi wametumika kama daraja kwetu kuingia duniani, wao ndiyo walibeba dhamana ya maisha yetu kwa sababu kama wangependa kutufanya chochote wangeweza ila kwa upendo wao mimi na wewe leo tunaishi. Kuna nadharia hasi iliyojengeka kwa wazazi wengi juu ya watoto wao. Ukiwasikiliza wazazi wengi wanakuambia wanazaa ili watoto wao waje wawasaidie. Ni …

Hakuna Biashara Ngumu Kama Hii Katika Dunia Ya Leo

Mpendwa rafiki yangu, Nilipokuwa nasoma kitabu cha mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiitwacho binadamu na maendeleo nilijifunza mambo mengi sana. Natumaini kila mmoja wetu anajua Mwalimu Nyerere alikuwa ni nani katika nchi yetu ya Tanzania. Kupitia kitabu chake cha binadamu na maendeleo amegusia maeneo mbalimbali likiwemo eneo la serikali. Hivyo nakushirikisha kile nilichojifunza kupitia kitabu hiki …

Neno Litakalokusaidia Kuwa Na Nidhamu Ya Fedha

Mpendwa rafiki yangu, Unaweza kuwa mkusanyaji mzuri wa fedha lakini kama huna nidhamu ya fedha bado utakuwa unashida kubwa sana. Tajiri mmoja sehemu fulani aliwakuta vijana wamekaa bar wanakunywa na kula nyama choma, yule tajiri akawauliza mbona mnatumia kiasi kikubwa sana cha pesa, je ni nani leo kati yenu amezalisha kiasi cha elfu 30 hakuna …

Kama Unamiliki Kitu Chochote Jiandae Na Hili Kisaikolojia

Mpendwa rafiki yangu, Tunaweka juhudi kweli za kutafuta ila tunapaswa kujua asili ya dunia jinsi ilivyo. Wengi tunapopata mali au chochote kile tunakuwa tunaweka mioyo yetu yote pale kiasi kwamba mali zinakuwa zinatutawala badala ya sisi kuzitawala mali. Wako wengine wanaokosa hata usingizi wakifikiria mali zao na vitu vingine vinavyohusiana na hivyo. Iko hivi rafiki, …

Usiwe Na Huruma Katika Kufanya Maamuzi Haya

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku tunafanya maamuzi, kuna maamuzi ya aina mbili maamuzi sahihi na maamuzi yasiyo sahihi. Wakati mwingine unajikuta unafanya maamuzi ya aina zote mbili sahihi na yale ambayo siyo sahihi. Aina zote za maamuzi ni maamuzi hata mtu usipoamua kufanya maamuzi nayo ni maamuzi. Linapokuja swala la mafanikio yako binafsi kama unafanya …

Hakuna Familia Inayoweza Kuthubutu Kuweka Bango Hili Mlangoni

Mpendwa rafiki yangu, Sisi wote tumetokea katika familia, sijui kama kuna mtu ambaye hajazaliwa katika familia? Ni mpango wa Mungu kila mmoja wetu azaliwe katika familia na familia ndiyo taasisi ya kwanza duniani, ukiona mtu ameweza kuwa bora katika familia basi amekuwa ni kielelezo kizuri cha jamii. Jamii yetu inategemea familia kuzaa wanajamii bora hivyo …

Kama Huna Kitu Hiki Usifanye Biashara

Mpendwa rafiki yangu, Huenda unakuwa unashangaa kwanini siku hizi sikushirikishi hapa makala za uchambuzi wa vitabu, jibu ni kuwa kama nilivyokuambia hapo awali ukitaka kusoma uchambuzi wa vitabu na kujifunza zaidi karibu katika mimi ni mshindi nimezaliwa kushinda clabu, karibu tujifunze kwa pamoja na kama Henry Ford alivyowahi kusema kama wote tukienda mbele basi mafanikio …

Hii Ndiyo Siku Ya Bahati Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kama ulikuwa hujui bahati huwa tunajitengenezea sisi wenyewe kadiri ya maandilizi tunayofanya, maandalizi yakija kukutana na fursa ndiyo tunakuja kusema ni bahati. Ni kweli kila mmoja wetu ana bahati yake lakini hakuna bahati inayokuja katika maisha yetu bila sisi wenyewe kujituma, kwa mfano, hufanyi kazi na una ndoto kubwa unafikiria iko siku …

Sehemu Pekee Ya Kuwekeza Fedha Zako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anajua fedha ni muhimu hilo halina ubishi, kila siku tunaamka kwenda kukusanya fedha ili tuweze kupata mahitaji yetu ya kila siku. Yule anayesema fedha siyo muhimu huenda akili yake haiku sawa. Katika dunia ya sasa ulinzi mkubwa wa kuwa nao ni fedha kwa sababu fedha ni mfalme atakupa kile …

Design a site like this with WordPress.com
Get started