Mpendwa rafiki, Kama kila mtu angekuwa ni mtoa sababu tokea Mungu aumbe dunia sijui kama leo hii dunia ingekuwa kama hivi ilivyo. Watu wachache walioamua kufanya kile wanachotaka ndiyo wanaofanya leo hii dunia inapendeza, watu wengi ni wagumu wabadiliko na hawataki kujisumbua wanaridhika kile ambacho wanacho. Hata wale waliofanya makubwa walipata upinzani mkali sana ndiyo …
Category Archives: Uncategorized
Maeneo Saba (07) Muhimu Ya Kufanyia Usafi Katika Maisha Yetu Ili Kuwa Na Mafanikio Makubwa
Mpendwa rafiki yangu, Usafi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, hakuna ambaye anaweza kuthubutu kutoka kitandani asubuhi na kwenda eneo lake la kazi akiwa mchafu, hata sehemu tunazoishi zikiwa chafu tunakosa amani. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuupa nafasi uchafu na usafi unakubalika kila sehemu na kila eneo la maisha yetu. Rafiki, …
Hiki Ndiyo Kiungo Cha Kuwa Makini Nacho Kuliko Viungo Vyote Vya Mwili
Mpendwa rafiki, Wengine wamekuwa na vilema vya maisha, maisha yamekuwa hayana maana, mataifa na miji yenye nguvu imebomolewa na kiungo hiki. Magomvi baina ya watu na watu,familia nakadhalika yanasababishwa kwa sababu ya kukosa nidhamu ya kutumia kiungo hiki vizuri. Moto mdogo unaweza ukateketeza msitu mzima vivyo hivyo kwa kiungo kidogo cha mwili wa binadamu unaweza …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kiungo Cha Kuwa Makini Nacho Kuliko Viungo Vyote Vya Mwili”
Kama Unataka Kupata Fedha Nyingi Ondoa Laana Hii Kwanza
Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anajua fedha ni muhimu na hilo halina ubishi. Fedha inakubalika karibu kila eneo la maisha yetu ya kila siku. Hivyo basi, katika karne hii ya ishirini na moja tunaweza kusema kuwa fedha ni mfalme yaani cash is the king. Unapata hewa bure sasa ukiwa mzima lakini ukiwa unaumwa na huna …
Continue reading “Kama Unataka Kupata Fedha Nyingi Ondoa Laana Hii Kwanza”
Kisasi Kizuri Cha Kuwafanyia Watu Wanaokudharau
Mpendwa rafiki, Kila mtu ana uwezo mkubwa ndani yake wa kufanya mambo makubwa na kushangaza dunia. Lakini, licha uwezo mkubwa ndani yetu tulionao bado kuna watu hawajitambui kama wanauwzo huo mkubwa ndani yao. Pili, bado kuna watu wanajidharau na hawajiamini kama kweli wao wanaweza kufanya makubwa. Kama tunashindwa kujiamini sisi wenyewe kuwa ni bora basi …
Continue reading “Kisasi Kizuri Cha Kuwafanyia Watu Wanaokudharau”
Hawa Ndiyo Watu Watatu Wanaohusika Katika Maisha Ya Ndoa
Mpendwa rafiki yangu, Roma haikujengwa kwa siku moja vivyo hivyo tabia nzuri haijengwi kwa siku moja. Ili uwe na ndoa bora ni mchakato unatakiwa kufanya kila siku wala siyo cha siku moja. Huwezi ukachukua kipaza sauti na kusema kuwa mimi ndoa yangu ni bora haina matatizo. Kila ndoa ina changamoto yake, kila maisha uliyochagua kuishi …
Continue reading “Hawa Ndiyo Watu Watatu Wanaohusika Katika Maisha Ya Ndoa”
Hii Ndiyo Dawa Ya Uvivu
Mpendwa rafiki yangu, Mtu mvivu ni sawa na mtu aliyepakwa kinyesi kila mtu anayepita au anayekaa naye karibu naye lazima atamkimbia kwa sababu ananuka. Hakuna mtu ambaye atapenda kukaa sehemu moja na mtu aliyepakwa kinyesi mwili mzima, wengi watamkimbia kwa sababu ananuka. Tukianzia hata katika vitabu vya kiroho mvivu amelaaniwa,kama umasikini unavyopigwa vita vivyo hivyo …
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Kinaweza Kukuongezea Au Kukupunguzia Heshima Yako
Mpendwa rafiki yangu, Kila taaluma ina uvaaji wake, kwa mfano ukiwaangalia tu madaktari wanavyovaa unapata picha na kujua wale ni madaktari kadiri ya vazi walilovaa. Siku hizi mavazi wanayovaa watu hayawauzi kadiri ya taaluma yao. Unaweza kukutana na mtu jinsi alivyovaa na kile anachokuambia haviendani kabisa. Watu wanakupima kwa mara ya kwanza wewe ni mtu …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Kinaweza Kukuongezea Au Kukupunguzia Heshima Yako”
Mambo Pekee Ambayo Huwezi Kuyafanya Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki, Dunia ya leo ina mambo mengi kiasi kwamba huwezi hata kuyamaliza hata ukipewa masaa 24 kwa siku huwezi kumaliza habari zote. Watu wanataka kukimbizana na kila kitu, wanataka kubadilisha kila kitu mwisho wa siku wanajikuta wanachoka na kushindwa kufanya kile wanachotaka kufanya. Katika maisha ya falsafa ya ustoa kuna mambo makuu mawili, kuna …
Continue reading “Mambo Pekee Ambayo Huwezi Kuyafanya Kwenye Maisha Yako”
Haya Ndiyo Mahusiano Mzigo Katika Maisha Yako
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu amezaliwa katika mahusiano hakuna mtu ambaye anaweza kujitokeza na kusema kuwa yeye hayuko katika mahusiano. Mahusiano yetu ya kwanza kabisa yanatoka kwa wazazi waliotuzaa, wazazi ndiyo watu kwanza katika maisha yetu kujitoa upendo wa usadaka bila kujibakiza ili sisi tuweze kuishi, tukifikiria fadhila walizotutendea wazazi hakuna hata mmoja wetu …
Continue reading “Haya Ndiyo Mahusiano Mzigo Katika Maisha Yako”